Nissan Dualis yawaka moto. Hizi gari zina shida gani?

Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu zingine zinazo changia hata bei yake kushuka.
Huenda mafundi wetu hawaelewi mifumo yake ya umeme wanaifojifoji hivyo kupelekea hilo tatizo. Just sayn.
Jamaa ana bahati maana milango ingekuwa locked na ikagoma fu guka ndo basi tena
 
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu zingine zinazo changia hata bei yake kushuka.
Gari hii na Nissan nyingi za kisasa zinakuja na electrical system ya IPDM yaan (An intelligent electronic power distributor module with a cut-off function that ensures and manages the power supply for a scalable number of connected loads in the vehicle)..hii module ipo kwenye fuse box ya hizi gari, sasa mafundi umeme wa kibongo wengi hawajui how IPDM power distribution module works, sasa wanaishia ku-loop mawaya kizembe na ku-bypass system ambayo inaji self diagnose yenye na kuji regulate yenye for optimal power distribution kwa kuzingatia electric load za module mbalimbali za gari...sasa mbongo/fundi wa Chini ya muende anaetumia tester kufanya kazi ya umeme akisha fanya yake basi utakuta system inashindwa ku detect power load kwenye system ambayo imeguswa matokeo yake ina over power or underpower..but iki overpower system ambayo waya / njia zake zipo designed kubeba umeme mdogo basi resistance inakua kubwa na kutengeneza joto kali ambalo eventually inapelekea cheche/moto andapo tu ignition itakutana na mafuta..kumbuka kama system ingekua inafanya kazi inavotakiwa ina maana yenyewe automatically ina detect na ku regulate power output iendane na load (ndo maan system inaitwa intelligent power distribution module)

System hii haipo kwenye Toyota..ukifungua fuse box ya Toyota nyingi utakuta ni relays na fuse but hakuna card (printed circuit with chips, diodes etc..) kumbuka IPDM ni system nzuri sana ikiwa inafanya kazi.short za kipuuzi puuzi upati.
 
Huenda mafundi wetu hawaelewi mifumo yake ya umeme wanaifojifoji hivyo kupelekea hilo tatizo. Just sayn.
Jamaa ana bahati maana milango ingekuwa locked na ikagoma fu guka ndo basi tena
Hapo hata mafundi hawahusiki, magari tu yenyewe yana shida, mm nimeshuhudia mtu kalinunua kalitumia mwezi tu, likaungua lote hapa hapa dar wiki hyo hyo nikaona kwenye mitandao nyingine tena inaungua kimara....kwa hizo gari hiyo changamoto ni yakawaida sana, pamoja na gearbox yake haina shukran kabisa hata uijali vipi....ukienda safar ndefu gearbox inapata moto nakupelekea gari kupungua nguvu
 
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu nyingine zinazochangia hata bei yake kushuka.
Tukiwaambia hamna gari humo muelewe. Xtrail imezingua sana watu ila ubishi ukazidi reality. Sahizi Dualis ni tiket ya motoni tu. Anytime mnakaangwa
 
mshaanza mafundi maiko.
teknolojia muwezi mnaaishia kubaatisha tu.kuna fundi kakorofisha Alphad mpaka ijitambui nikiwasha inafungua vioo.
Kesho na mdamkia tumalizine ajui uchungu wa kununua gari
Aseee pole,.fundi wengi hawajui kusoma wiring diagram za magari so wanafanya kazi kimazoea...ukijua soma wiring diagram na kua na natural intelligence ya kutengeneza logic kichwan kuhusiana na tatizo husika basi tatizo lina sortika kirahisi..shida fundi wetu hata intelligence ya kuweza ku generate scenario zinazohusiana na tatizo husika hawana matokea yake approach wanayotumia kutatua tatizo inakua si utengenezaji bali uharibifu.


Kumbuka hapa Bongo hatuna mafundi tuna parts changer tu.. yaan wazee wa ku replace lakini ku diagnose issue mpaka ukapata uundani wa kitu(hasa electrical problems na intermittent car problems ambazo zinatokea occasionally...these kind of problems very rarely kua solved na hawa mafundi wetu.. because of these issues niliamua ku an advanced DIY person ninae fanya project zangu binafsi kwakua mafundi wetu ni changamoto.
 
Gari hii na Nissan nyingi za kisasa zinakuja na electrical system ya IPDM yaan (An intelligent electronic power distributor module with a cut-off function that ensures and manages the power supply for a scalable number of connected loads in the vehicle)..hii module ipo kwenye fuse box ya hizi gari, sasa mafundi umeme wa kibongo wengi hawajui how IPDM power distribution module works, sasa wanaishia ku-loop mawaya kizembe na ku-bypas system ambayo inaji self diagnose yenye na kuji regulate yenye for optimal power distribution kwa kuzingatia electric load module mbalimbali za gari...sasa mbongo/fundi wa Chini ya muende anaetumia tester kufanya kazi ya umeme akisha fanya yake basi utakuta system inashindwa ku detect power load kwenye system ambayo imeguswa matokeo yake ina over power or underpower..but iki overpower system ambayo waya / njia zake zipo designed kubeba umeme mdogo basi resistance inakua kubwa na kutengeneza joto kali ambalo eventually inapelekea cheche/moto andapo tu ignition itakutana na mafuta..kumbuka kama system ingekua inafanya kazi inavotakiwa ina maana yenyewe automatically ina detect na ku regulate power output iendane na load (ndo maan system inaitwa intelligent power distribution module)

System hii haipo kwenye Toyota..ukifungua fuse box ya Toyota nyingi utakuta ni relays na fuse but hakuna card (printed circuit with chips, diodes etc..) kumbuka IPDM ni system nzuri sana ikiwa inafanya kazi.short za kipuuzi puuzi upati.
Mkuu unajua sana. Big Up!
 
Back
Top Bottom