Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,761
- 165,355
PichaJamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.
Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?
Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.
Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?
Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Nguo bwana ukipendeze uwe na mwili wa wastani ukishakuwa bonge bonge ata fundi awe mzuri vipi hupendezi ng'ooJamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.
Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?
Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
🤣🤣🤣 watu tunataka mama yetu aonekane vizuri.Kupenda mama na kuwa na muonekano bomba hayo ya mume wake mkuu
Kweli hata mi nimeona. 😄Jamani naona Mama kapiga vazi fulani ila ni kama oversize na halimtoi vizuri kimuonekano.
Swali ni je, wanaohusika na mavazi ya Mama wako makini?
Ukiwa mkubwa, ujue hakuna dogo la kupuuzwa.
Lawama zote kwa First GentlemanKupendeza mama na kuwa na muonekano bomba hayo ya mume wake mkuu
😁😁😁 eti mama yenu .. Tanzania masiahara mengi sana hii nchi.. kipindima Rais ni wanaume mbona hatukusikia hizi mambo za Baba baba... nchi ina vituko sana hii🤣🤣🤣 watu tunataka mama yetu aonekane vizuri.
Mkuu neno mama ni heshima tu haina maana ni mama yetu mzazi, hata barabarani ni rahisi kumuita mwanamke aliyekuzidi umri mama hata kama humjui, wakati sio rahisi kumuita mwanaume baba hata kama amekuzidi umri, kwa hiyo neno mama usichukulie serious sana.😁😁😁 eti mama yenu .. Tanzania masiahara mengi sana hii nchi.. kipindima Rais ni wanaume mbona hatukusikia hizi mambo za Baba baba... nchi ina vituko sana hii
Nakupata vizuri kabisa mkuu. Haina shida yule mama wa taifaMkuu neno mama ni heshima tu haina maana ni mama yetu mzazi, hata barabarani ni rahisi kumuita mwanamke aliyekuzidi umri mama hata kama humjui, wakati sio rahisi kumuita mwanaume baba hata kama amekuzidi umri, kwa hiyo neno mama usichukulie serious sana.
Jamaa amenigongea hicho kibwagizo hadi nimefurahi.Ujue Ukiwa Mkubwa Hakuna Dogo La Kupuuzwa
Chukua Pepsi Mkubwa Wao Unywe Chap Nakuja Kulipa, Pia Una Hoja Nzito Sana Ambayo Inahitaji Mjadala Mpana Na Maji Baridi Ya Kupooza Koo
Ninakazia wea is ha picha ?Picha
Mama yuko smart, na mara zote huwa anapendeza sana. Kama kuna mtu amesababisha ki-kasoro kwenye mavazi yake inabidi arekebishe hiyo kasoro haraka sana!Rais wetu lazima apendeze bana, picha tafadhali.
Wardrobe malfunction huwa inatokea sometimesMama yuko smart, na mara zote huwa anapendeza sana. Kama kuna mtu amesababisha ki-kasoro kwenye mavazi yake inabidi arekebishe hiyo kasoro haraka sana!
........halafu baada ya kutokea, inarekebishwaWaldrobe malfunction huwa inatokea sometimes