Mbona kada ya Computer System Analyst hawajaitwa kazini

Mbona kada ya Computer System Analyst hawajaitwa kazini

blesssedgirl

Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11
Reaction score
4
Habari zenu wanajf.Naomba kuuliza kwa anayejua hili..tulifanya interview tarehe moja mwezi huu pale utumishi,post zilitangazwa na ofisi ya mwanasheria mkuu,kada zingine zote wameitwa kazini ikiwemo state attorney na law secretary ila kada ya system analyst hawajaweka majina.je ndo bado wanaendelea na mchakato au ndo hakuna aliyepita?
 
kaka ukiona manyoya ujue kariwa, hao general attorney watakuwa wamegawana kazi hizo wenyewe kwa kujuana, maana kuna mtu mmoja aliyefanya hiyo interview ya attorney general kapangiwa kwenda halmashauri ya wanging'ombe huko njombe badala ya kubakizwa office ya mwanasheria mkuu. sasa sijajua kama watatoa tena au ndo waliobaki wamewekwa kwenye kazi data yao, ila endelea kusubiria labda watatoa.
 
Itakuwa hakuna aliyefaulu usaili

najua hapo presha itakupanda ila poleeee
 
Itakuwa hakuna aliyefaulu usaili

najua hapo presha itakupanda ila poleeee

nilienda ofisi ya mwanasheria mkuu siku moja kabla hawajatangaza hayo majina kwenye site nikaambiwa kwa sasa hawaajiri CSA, yule HR akaniambia nenda secretariat nilipofika wakaniambia watu kada yetu hawajapangiwa bado. so kuna sitofahamu kati ya hzi ofisi mbili
 
Hata transportation officer ofisi ya AG pia hawajaita japokua baadhi ya waliofanya interview wamepangiwa halmashauri
 
Habari zenu wanajf.Naomba kuuliza kwa anayejua hili..tulifanya interview tarehe moja mwezi huu pale utumishi,post zilitangazwa na ofisi ya mwanasheria mkuu,kada zingine zote wameitwa kazini ikiwemo state attorney na law secretary ila kada ya system analyst hawajaweka majina.je ndo bado wanaendelea na mchakato au ndo hakuna aliyepita?
Mim pia nilifanya interview hyo, nilipigiwa simu kupangiwa kazi Itilima DC nikaulizwa kama niko tayari kwenda au hapana mim Itilima dc hata sijui iko wap........ lkn vilevile niliuliza kuhusu ofisi ya mwanasheria mkuu nikaambiwa wameshapangiwa kazi watu hapo ndo nilichoka na nchi yangu tanzania...wengine wameitwa wazi wazi sie tunaitwa kwa siri.....
 
Kwani hiyo ambayo watu hawajaitwa zilikua post ngapi?

inavyokua kama ushawah kufanya interview utumishi kwa position flan zikitokea nafac wanawapangia tu
 
Samahan wadau hivi na wale waliopangiwa kazi kwa AG km state attorney, law secretary, personal secretary, ofice assistants, security guards, receptionists, librarians lini watanza kazi rasmi mana kuna jamaa apa anaulizia daily na walisili kwa AG. Kwa mwenye tarifa zozote atusaidie tafadhali wakuu.
 
Back
Top Bottom