Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,213
- 2,039
KWENDA ZAKO SHETANIImenikumbusha movie ya THAT'S MY BOY, ni comedy lakini ina funzo kubwa,
Huyo mtu mzima kisheti aswekwe jela hata miaka miwili akili imkae sawa na hako kababa mimba kapatiwe therapist haraka kabla hajaharibika zaidi.
Cougar spotted.Juzi juzi hapa nimeishi na my cousin ana 13years.
Kwanza kanizidi urefu.
Pili Baba yake asipokuwepo yeye ndo anaongoza sala na ana cheo huko church. Inshort anaheshimiwa kama mwanaume yani.
Ni kweli hajakomaa kiakili, but nakataa kumuita mtoto. Ana akili kabisa, tena alianza kunisema kwanini nachelewa kurudi nyumbani.
I admired him.
Hii generation ya watoto wasiokua sisi wengine tunaikataa. Eti therapy kwa dume kuweka mimba seriously, this wicked generation.
Mama kijacho aachiwe jela akalee mumewe.
Filthy mind.Cougar spotted.
Kwanini hujawaza kwamba nataka kijana wangu awe kama yeye?Cougar spotted.
Unataka kijana wako awe baba akiwa 13?Kwanini hujawaza kwamba nataka kijana wangu awe kama yeye?
I want him to fulfil his God given duties:Unataka kijana wako awe baba akiwa 13?
Tofautisha kati ya mvulana na mwanaume mkuu.I want him to fulfil his God given duties:
The Image of LORD ALMIGHTY himself!
Man of strength and honor!
Bold as a lion!
Fearless in battle!
Defender of his household!
A pillar among men!
Chosen and anointed!
This is not a man who goes to therapy coz he got a woman pregnant!
Stop Weakening, Demasculinizing, Emasculating our boys.
Unakosea mkuu, mitazamo ya kizamani inakuandama. Maisha ya shogun ni ya karne ya 17. Tumeshatoka huko.I was watching Shogun you guys. Hivi wanaume wa hivi wako wapi?
I was born in the wrong era! ! !
Dume la mbegu hilo hakuna mvulana hapo.Tofautisha kati ya mvulana na mwanaume mkuu.
Wewe mwenyewe ushetani uliojivika nguo ya utandawazi umekuandama...Unakosea mkuu, mitazamo ya kizamani inakuandama. Maisha ya shogun ni ya karne ya 17. Tumeshatoka huko.
Kwahiyo wewe unatakaje? Kijana akiota vuzi tu na miaka 11 aoe? Na binti akiona mwezi wake wa kwanza tu achumbiwe?Wewe mwenyewe ushetani uliojivika nguo ya utandawazi umekuandama...
Wale ndo wanaume! Hadi raha unazaa zako dume la mbegu, mighty warrior, strong in mind and body.
sio hawa wanaenda therapy kisa wametia mtu mimba hii sio hata evolution ni devolution.
Born in the wrong decade... can’t just quit!I was watching Shogun you guys. Hivi wanaume wa hivi wako wapi?
I was born in the wrong era! ! !