Hakika Mtani kwani kushajaa tayari.Mtani wala sitegemei kama hii kuja kujengwa Tz
Hatari sana.Leteni ahadi kama hiziView attachment 1567351
Huyu ndie wakumchagua Sasa. Anaudhubutu wa kufanya yasiozoeleka, je yalio zoeleka atayashindwaje??Mtani achana na hizi mambo.
Na mpaka mtu ahaidi yote hayo basi anatakiwa awe mkavu kama yule aliyesema tutavulia samaki wa Bahari ya Hindi tukiwa Dodoma.
Leteni ahadi kama hiziView attachment 1567351
HahahahaBila lissu haiwezekani
Aisee hii ni nchi gani mkuu, nataka nione intersection yake itakuajeLeteni ahadi kama hiziView attachment 1567351
Aisee hii ni nchi gani mkuu, nataka nione intersection yake itakuaje