Mbona hawatoi ahadi za barabara kama hii

Mbona hawatoi ahadi za barabara kama hii

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Leteni ahadi kama hizi
FB_IMG_1599894188201.jpg
 
Duuh!! Hapo nimehesabu ni barabara ishirini kwa kila uelekeo mmoja.

Eneo na fedha za kufanya hivyo zinatoka wapi Mtani?
 
Na mpaka mtu ahaidi yote hayo basi anatakiwa awe mkavu kama yule aliyesema tutavulia samaki wa Bahari ya Hindi tukiwa Dodoma.
Hii ahadi........au alimaanisha ataleta self driving fishing boats???
 
Back
Top Bottom