Mbona hawajamu-impeach D.Trump?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Kulikuwa na watabiri wengi hapa wakiwanga mara ohh D.Trump hamalizi mwaka lzm aende, mara sijui hivi mara vile, mbona D.Trump mwaka wa pili sasa huo ni Raisi wa USA na kwanza tayari hata wanasema November election ni landslide kwa republicans shauri ya uwepo wa Trump na 2020 atashinda tena pia.

Mlifikiri ni rahisi kumuondoa madarakani Raisi wa USA? Hakuna kitu kama hicho, ni porojo za Wazungu tu kuwadanganya na kuwafumba lkn uhalisia wake ni mgumu sana, klk mnavyodhania, ...

n_mtpd_nbcwsjpoll_171219_1920x1080.jpg
 
Back
Top Bottom