Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,118
Hapana.Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
parapanda imeisha lia mda2 utaongea
Huyo atakuwa bize akizisunda na kuzificha kwenye akaunti mbalimbali nje ndani na kwenye vyungu Chini ya ardhi kule kwenye ranchi ya mzee KaragweDotto James-Katibu mkuu Hazina
Mbona Mimi ni senior pia lkn sikualikwa??.Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
Hii mishe inasimamiwa na wajeda.Hata wazee wa buku tano ya kubrashia viatu sijawaona kwa wingi naona wajeda na Askari sugu ndiyo wengi au wamebadilishiwa uniform?
Yaani ukibahatisha labda barabarani, ila wazee wakubeba masufuria ya mama ntilie wapoHii mishe inasimamiwa na wajeda.
Huyo yupoDotto James-Katibu mkuu Hazina
Mumeo alikupa ruhusa?Mbona Mimi ni senior pia lkn sikualikwa??.
Ukiwa muongo, jitahidi uwe na uelewa wa mambo muhimu. Tokea lini katibu mkuu akahudhuria kikao cha mawaziri?Wakati juzi alikua kwny kikao cha mawaziri kilichoitishwa na mama Samia.
Siyo mjumbe wa baraza la mawaziri, acha uongo.Ujue najiuliza yeye kwenye kikao cha mawaziri anahusikaje?naona kama sheria hazifuatwi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]replay badala ya replySawaa Mkalimanii[emoji3577]
Wewe ndiye muongo, tangu lini makatibu wakuu wakaingia kikao cha baraza la mawaziri? Kumbuka hata manaibu waziri hawaingii...Watu wanapenda mambo ya uongo uongo sanaaa.. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hawaingii kikaoni hebu acheni uzushi banaa... Hata bungeni wanaenda but wanakuwa nje huko in case kunahitajika clarification but siyo kuingia bungeni...Kwny kikao cha mawaziri, makatibu wakuu wa wizara au seniors wengine wowote hua wanakuwepo iwapo watahitajika kikaoni mkuu.
Alihudhuria, kwa nini alihudhuria hiyo sio kazi yanguUkiwa muongo, jitahidi uwe na uelewa wa mambo muhimu. Tokea lini katibu mkuu akahudhuria kikao cha mawaziri?
Usiwe unabisha Kama Jambo hulifahamu, ni vema ungetafuta hiyo habari.Hawaingii kikaoni hebu acheni uzushi banaa... Hata bungeni wanaenda but wanakuwa nje huko in case kunahitajika clarification but siyo kuingia bungeni...
Na Biteko.Dotto James-Katibu mkuu Hazina