Mbona haja niomba hela ya siku kuu?

Mbona haja niomba hela ya siku kuu?

Status
Not open for further replies.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio bure.
 
mkiombwa mnakyja kulalama hapa na kuwashifu wanawake kwa kila majina mala mademu wa mizinga & likes.

msipoombwa nayo ni shida pia? kuna shida gani bidada akimuomba pocket money baba yake au mama yake kama anajuwa wewe ni mchovu?

Ni wapi ilipoandikwa ni lazima mwanamke akuombe pesa? je wewe huwezi kumpa pesa bila kuombwa?
 
Usijali ww kuwa na aman tu wameshakusaidia wanaojua kusikiliza na kujali matatizo ya mwanamke.... Hvyo ukikuta sim yake iko busy,inaita haipokelewi, haipatkan au ukipiga kapokea mwanaume usilie ujue yule aliyemsikiliza shida yake nayeye anatulizwa na kupewa aman ya moyo
 
mkuu nimeshampa ya hadi jumatatu ya pasaka!usijali utatoa ya kuanzia jumanne!
 
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio bure.
kuna waliotoa tayari na sasa hivi anapikiwa mahanjumati then anapanda juu!!!!
 
Nimepewa na MWANAUME MwenzIOOOOOO!! Eboh!........ Tukiwaomba munakuja kutusema hapa ooh videmu vya mizinga munalia hadi kamasi !!! tukichuna munahangaika! TuwafaNYAJEEEE!!!!! mutuwache tupumue!!!
 
Nimepewa na MWANAUME MwenzIOOOOOO!! Eboh!........ Tukiwaomba munakuja kutusema hapa ooh videmu vya mizinga munalia hadi kamasi !!! tukichuna munahangaika! TuwafaNYAJEEEE!!!!! mutuwache tupumue!!!

Tumewaziba pua na mdomo.
 
Endelea kusubiri kuombwa,wanaojua majukumu yao wameshatoa!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom