Mbona haja niomba hela ya siku kuu?

Mbona haja niomba hela ya siku kuu?

Status
Not open for further replies.
Nimekaa tangu ijumaa labda nitapokea kizinga cha siku kuu kutoka kwa waubani but naona kimya mpaka leo,najikaza kiume lakini roho inaniuma kwa nini asiniombe hela ya siku kuu? kuna namna hapa sio bure.

Ukisikia ulofa ndio huo ww badala ya kujiongeza unangoja uombwe utangoja sana wenzako wanafungua walet bila hta kuulizwa utalia
 
Umenifurahisha wallahi jumapili hii ahsante!!Wanaadamu tuna shida sana jamani,mkiombwa hela mnalalama mnafanywa ATM,msipoombwa mnalalama hamuombwi teh ilimradi tafrani :dance:
 
Mambo yasiyokuwa na faida yamezidi kupostiwa humu,
wasomaji ndio wanaochuja nani tutusa nani anaongea cha maana, kuna member kibao humu tena wa siku nyingi wako online hawaanzishi thread wala hawacomment, unajuwa why?
 
wasomaji ndio wanaochuja nani tutusa nani anaongea cha maana, kuna member kibao humu tena wa siku nyingi wako online hawaanzishi thread wala hawacomment, unajuwa why?

ooopppsss!
 
shukuru mungu hajakuomba mana angekupiga mzinga mkubwa uje kulalama mmu!!!!
 
Hahahaha myb kaamua kua independ ent woman! Au kashtukia unapenda kulia lia sana akikuomba hela,,
 
Huja ombwa alafu Mrembo kapiga pamba mpya na simu mpya na hafanyi kazi yoyote. Jipe imani labda babake kampa safari hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom