Mali ni deni la TRA ndio wamekamata kosa lipo palepaleLugumi alishasulubiwa kwa kunyang'anywa mali zake na kupigwa mnada. Hukumu na adhabu aliyokwisha pata Lugumi inatosha... Kama mtanzania mkosaji ameshaadhibiwa. Utoaji wa haki unakataza kutoa adhabu mara mbili kwa kosa moja...
Ccm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
Amecheza faulo mbaya dakika mbaya sana uwanjani. Hakutakiwa kumgusa mzee wa Singida United. Yule, Nape na wazee wastaafu wengi tu ni Mabingwa wabobezi wa 'fitna' mtaniambia....tuupe muda nafasiKitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?
Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?
Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?
Yaweza kuwa hata mzee wa Msoga ndilo lililo muuzi hadi akapotezea mwaliko? Maana ni kijana wake huyo!Amecheza faulo mbaya dakika mbaya sana uwanjani. Hakutakiwa kumgusa mzee wa Singida United. Yule, Nape na wazee wastaafu wengi tu ni Mabingwa wabobezi wa 'fitna' mtaniambia....tuupe muda nafasi
Msisahau wahanga Wa hamahama akina Kafulila na Patrobasi Katambi hali ni tete.unaambiwa kuna mchumia tumbo mmoja humu , aitwaye Msemajiukweli hali yake si nzuri kabisa !
Amecheza faulo mbaya dakika mbaya sana uwanjani. Hakutakiwa kumgusa mzee wa Singida United. Yule, Nape na wazee wastaafu wengi tu ni Mabingwa wabobezi wa 'fitna' mtaniambia....tuupe muda nafasi
SawaSasa hivi kwenye CCM hakuna mwenye jeuri ya aina yoyote mbele ya JIWE! Maana wote wanamtegemea Jiwe ku-survive! SAD BUT TRUE. Tatizo la hawa vijana Nape, Mwigulu et al, hawajui/hawakujua kusoma alama za nyakati. I repeat no one in politics is indispensable. Na wakipigwa chini ubunge 2020..wajipange wakatafute maisha kwingine!
Nikimkumbuka Nape alivyokuwa anaongea kwa jeuri. Mwigulu thought he owned the country! Wako wapi?
Wakati si milele. Ukiwa na madaraka bila HUMILITY huwezi kufika popote. Na JIWE atawafukuza wengi tuu. Hata wale wanaojifanya kuitetea CCM mpaka mishipa inawavimba. It is a matter of time.
Ushauri wangu kwa WOTE walioko kwenye serikali ya JPM: JIWE hana Rafiki! Narudia tena. JIWE hana Rafiki.
Masanja,
Kitendo cha kumgalagaza Mwigulu na matisho ya Mwenyekiti wao kwa Wabunge na hatua anazotaka zichukuliwe kwa walo fanya ufisadi wa Lugumi, magari ya Polisi, NIDA nk nk mbona imeleta taharuki sio mitandaoni tuu hata mitaani kwa wapiga debe wa CCM kutulia kama wana malaria?
Pia kitendo cha kada wao Zakaria kuwatwanga risasi wasiojulikana kisha wakajulikana na kuleta taharuki kati ya uongozi wa CCM mkoa wa Mara na Tarime huku wakibishana na viongozi wa serikali kimeonyesha kufanya utetezi maandazi kwisha nguvu?
Au ndio zile njozi za kuwa chinja chinja wa hili dubwasha atatokea ndani mwao ili wa nje wasipate dhambi ya kuua chama hiki kilichokuwa cha ukombozi?
anatumia akili iko mu kichwa, hahitaji kupiga push-up, wapiga push-up si ndio hao wanaopigana na ukuta wanadhalilisha kiapo walichoapa mbele ya umma!Kapona vipi, sasa mbona ana hayo magongo? Eti huyo ndio kamanda wa ufipa. Duh utapata tabu sana.
dah MUNGU sio msambaa,shikamoo MUNGU mkuu.shikamoo baba.Lissu kaponaView attachment 801651
Utapata tabu sana.anatumia akili iko mu kichwa, hahitaji kupiga push-up, wapiga push-up si ndio hao wanaopigana na ukuta wanadhalilisha kiapo walichoapa mbele ya umma!
Thubutu ... Kila kukicha mnajicontradict wenyewe ... Chukueni tahadhari tunakoendea ni aibu ...Ccm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
Jibu swali wewe 'reptile'Vipi huko mtaa wa pili ufipa hali ikoje kwa sasa?
Sasahivi jiwe ndio chama na ndio serikali wooote kutekeleza order zake hao wa kusini wameshalielewa somo kwa hakika 2020, atakuja na majina yake mfukoni, akifanya suu! wote ni kupiga saluti, na atakae bisha ni lupango, hapo ndo sasa 2025, wote watasema aendelee mtukufuu! maana ndugu yake wa karibu kabisa ni ka-Game na mjombae ni mu-Seven na wote wanatoka ABYSINIA ndipo machozi yetu Mungu wa Yakobo na Mungu wa Ibrahim atakapo yafuta amin amin nawaambia maneno ya utabiri huu hayatapita!Sasa hivi kwenye CCM hakuna mwenye jeuri ya aina yoyote mbele ya JIWE! Maana wote wanamtegemea Jiwe ku-survive! SAD BUT TRUE. Tatizo la hawa vijana Nape, Mwigulu et al, hawajui/hawakujua kusoma alama za nyakati. I repeat no one in politics is indispensable. Na wakipigwa chini ubunge 2020..wajipange wakatafute maisha kwingine!
Nikimkumbuka Nape alivyokuwa anaongea kwa jeuri. Mwigulu thought he owned the country! Wako wapi?
Wakati si milele. Ukiwa na madaraka bila HUMILITY huwezi kufika popote. Na JIWE atawafukuza wengi tuu. Hata wale wanaojifanya kuitetea CCM mpaka mishipa inawavimba. It is a matter of time.
Ushauri wangu kwa WOTE walioko kwenye serikali ya JPM: JIWE hana Rafiki! Narudia tena. JIWE hana Rafiki.
Masanja,
Wewe mpuuzi ukishakariri Kiingereza ndio unajionaa. Eti 'reptile' ha ha ha.Jibu swali wewe 'reptile'
Unafikiri nest Generation watakuwa MAZUZU kama hii Generation ........!!Ccm ipo imara kukamata dola 50 years to come... Pole
...nest generation?Unafikiri nest Generation.....!!