Mbona drones bado zinatumika!!??

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,520
Leo nilikuwa nimehudhuria harusi flan hapa kabisa LA Rc Book naona bado wapiga Picha wanatumia drones hata baada ya kuzuiliwa na serikali. Mimi ni kati ya watanzania wanaopinga sana hivi vidude kwa sababu za kiusalama. Ni kwamba Serikali imeshindwa kuzuia au watumiaji waneizidi janja serikali!? Nashauri wanaokamatwa na hivi vidude waadhibiwe vikali na mahakama za kijeshi maana wanahatarisha usalama Wa nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo la drones ni nini? hivi vidude vinahatarisha usalama kwa vipi?
 
Vinaweza kukudanya taarifa au kupiga Picha maeneo yasiyoruhusiwa. Pia vinaweza kubebeshwa silaha na naadui wetu na kushambulia popote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakurupukaji na miandiko ya penseli!

thA God thA bubbs!!
 
Reactions: J33
Huenda zimesajiliwa na vimefuata masharti, you never know
 
Vinaweza kukudanya taarifa au kupiga Picha maeneo yasiyoruhusiwa. Pia vinaweza kubebeshwa silaha na naadui wetu na kushambulia popote

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani siwezi kupiga picha na simu? infact drone ni rahisi kuiona na kuizuia! Mtu yuko kwenue ukumbi wa harusi , hatari ya usalama wa taifa inatoka wapi?
 
kwani siwezi kupiga picha na simu? infact drone ni rahisi kuiona na kuizuia! Mtu yuko kwenue ukumbi wa harusi , hatari ya usalama wa taifa inatoka wapi?
Nadhan hujaelewa , kwa mfano we na SIMU yako hamuwez kuingia kwenye kambi ya jeshi na kupiga Picha bila taarifa ila drone unaweza kuingia yenyewe tena bila taarifa na inaweza isiacha hata footsteps

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeuliza pia mwamko wa usafi kila jumamos ya mwisho wa mwezi,maana hata maeneo ya biashara watu hawafany ila husubiri saa 4 wafungue

May Allah bless Me and You
 
Samahani lakin, iyo drone ni gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Af kwel wajameni me juz kat nlpta mitaa ya posta mpy nkakuta watu wanatumia hilo liDRONE axa nkashndw kushangaa kazi kwmb hawjui sheria ama lah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…