Mbona Choka hivi??

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
coconut fm zanzibar yatimiza miaka 5:

Miaka yote 5 kwa "KAMPUNI" hakuna kilichopatikana hata kuwezesha kufanya Maadhimisho kwenye mandhari ya kuvutia kidogo!! duh...

Timu ya redio Coconut Fm 88.2 Fm Zanzibar​
Mmoja wa watangazaji wa Coconut Fm 88.2 Zanzibar, akimlisha keki mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd, ambao ni wamiliki wa kituo hicho kwa niaba ya Uongozi wa Kampuni pamoja na Clouds Media Group.​

Mmoja wa Wakurugenzi wa Prime Time Promotions, ambao ndiyo wamiliki wa Redio Coconut Fm 88.2 Zanzibar Godfrey Kussaga akimlisha keki mmoja ya watangazaji nguli wa Redio Coconut Fm 88.2 Husna B.​

(C) MICHUZI
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...

Ni wale wale tu:

CLOUDS MEDIA GROUP = Prime Time Promotions Ltd= Coconut FM = Clouds Fm (88 zanzibar/84 Bara) Godfrey Kussaga (Visiwani) = Joseph Kusaga (Bara).

Kwani Kusaga ni Wazenji?<!-- google_ad_section_end -->
 
Hapa naona hata wangetafuta chini ya mwembe wakafanya hiyo shughuli mandhari haina mvuto hata kidogo
 
Hapa naona hata wangetafuta chini ya mwembe wakafanya hiyo shughuli mandhari haina mvuto hata kidogo

Hata wahusika wenyewe kama hawakujiandaa kabsa..Hovyo kama sio shuhuli ya Kampuni yenye jina!
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...

Hiyo ni hali halisi, ila mkuu tumia lugha nyepesi jamaa wa CUF watakugawana!
 
Naomba kujua uhusiano wa shughuli na mandhari? ina maana wangefanyia kwenye bonge la hoteli lenye mandhari safi saaana. Inge add value kwenye utendaji wao wa kazi/biashara?
 
toka lini wazenji wakafanya kitu cha kueleweka....shule na akili kumkichwa ni tatizo. tuwabebe tu hivyohivyo...
Nafikiri hizo sura na hivyo walivyo hutotaka kuliza mara mbili ni vijana kutokea wapi na kama hilo halitoshi soma majina yayo.(Baniyani mbaya Kiyatu chake dawa)
 
lakini waacheni ndugu zetu wa Kizanzibar wanafanya kila walichokuwa na au kwa uwezo wao wenyewe sasa sio kitu cha kulaumu jamani wahindi wanasema Kila ndege huruka kwa ubawa wake mwenyewe Waacheni ndugu zetu wa kiunguja ni kawaida tu kwa Utamaduni wao jamani waacheni wazenji.
 
Ni macho yangu au... naona kama vile uma uko mmoja!
 
hii meza fupi kama toilet seat bana! heheheehhe jamaa inabidi wafunge ofisi, hii ni sirias kraisis.
 
naomba kujua uhusiano wa shughuli na mandhari? Ina maana wangefanyia kwenye bonge la hoteli lenye mandhari safi saaana. Inge add value kwenye utendaji wao wa kazi/biashara?

kwa kuwa walidhamiria kufanya azimisho la miaka mitano na kuitangaza shuhuli yao kwenye media, ingekuwa bora zaidi kwao kwa kuzingatia jina la clouds media na prime promotion ya Kussaga yenye watangazaji wenye Bwembwe kujiandaa japo kwa meza, sahani, keki na hata umma wa kulishia keki kama si vijiti vya kuchomekea. Si lazima iwe hotelini..lakini kwa hii inaonekana ni ubabaishaji wa wazi kaabisa ambao hata ukilinganisah na shuhuli ya familia ya mtu binafsi wa Kimanzi haiwezi kufikia bana!!.
 
Hiyo ni hali halisi, ila mkuu tumia lugha nyepesi jamaa wa CUF watakugawana!

Hukukaribishwa Masa...!!

Dah, hii kitu inaondoa apetaiti, au hiki ndo kile kipindi umeme ulikatika for 3 moons?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…