Bunge la kijani hilo .Si siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia....
Hakuna bunge hapo kuna genge la wahuni watu na kusanyiko la waharifuSi siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia...
Stress mbaya sanaHili ndio bunge hovyo kupita yote tangu uhuru na sidhani kama litakuja kutokea lingine kama hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Bungeni kaacha uchafu wake badoJamani bavicha kwani si matatizo yote kaondoka nayo Magu? Na sasa mambo yako poa na mmejishajitoa utumwani.?
Gwajima na msukuma.Hawa vilaza waliwekwa pale na jiwe. Hivi ni mbunge nani pale anauwezo wa kuchambua ripoti ya CAG
π€£π€£π€£Hawa vilaza waliwekwa pale na jiwe. Hivi ni mbunge nani pale anauwezo wa kuchambua ripoti ya CAG
Wewe futa hiyo Id utaandamwa na mikosiStress mbaya sana
Hilo ndilo Bunge aliloliteua marehemu. Wote waliomo humo ni kwa matakwa ya marehemu. Hakuna anayeweza kusimama kwa ujasiri na kusema kuwa amepelekwa huko bungeni na wapiga kura.Si siri tena ,sasa hivi kunaonekana mpasuko mkubwa ndani ya bunge kiasi inakuwa aibu kuangalia na watu inakuwa kama tunaangalia mpira na makelele ya kushangilia.
Ni kwanini bunge letu linakosa heshima na limekaa kiumbea umbea kiudaku udaku kusutana sutana,, halipo kiufundi lenye kujielewa,yaani ukisikiliza inafikia wakati hujui ucheke au ulie halina tofauti na mastori ya kijiweni ,yaani unajikuta hivi hivi upo na mastori ya kijiweni mmekaa pamoja. Naanza kuamini kama nchi yetu na watu wake ni wa ajabu ajabu.