Kama mnajua kuna tofauti kati ya dola na chama kwani mnalazimisha kusema Kitila na wenzake walikuwa wanataka kufanya uhaini?Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?
Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini Mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.
Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya Primary school
mbona vyama vingine bendera zake ziko nusu mlingoti kwa nini chadema hawataki.
Kama mnajua kuna tofauti kati ya dola na chama kwani mnalazimisha kusema Kitila na wenzake walikuwa wanataka kufanya uhaini?
Una mahusiano na huyu jamaa hata kwa mbali?Hapana ni taifa la kaskazini kwa mujibu Joshua Nassari.
wewe dini gan mbn una roho ngumu ivo
Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?
Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini Mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.
Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya Primary school
Chama cha kihuni
Uhaini=Treason. Tafuta tafsiri sahihi ya neno treason utaelewa Chadema walimaanisha nini. Tatizo nyie kila tafsiri mnaichukulia juujuu tu. Nakumbuka Mhe Wenje aliposema Bungeni kuwa Serikali hii ni impotent lol! Kila mtu alikuja juu eti atasemaje serikali ni -------? Ha ha ha kazi kwelikweli mkuu Ritz.
ni chama cha ukoo so hakina impact ya kitaifa na kimataifa
hii imekaaje? uzalendo wetu kwa mandela umekaaje?
hii imekaaje? uzalendo wetu kwa mandela umekaaje?