Mbona bendera ya CHADEMA sio nusu mlingoti mikutano ya Dkt Slaa?

Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?

Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini Mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.

Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya Primary school
Kama mnajua kuna tofauti kati ya dola na chama kwani mnalazimisha kusema Kitila na wenzake walikuwa wanataka kufanya uhaini?
 
amechanganyikiwa kwa sasa mngemuacha tu kwnai wengi wamejiuzulu nyadhifa zao na wengine wamerudisha kadi wengine wamechoma bendera hivyo muacheni, ana stress hapati picha 2015 chama chake kitakuwaje
 
watanzania vichwa vyetu vimejaa matope, 1)Mandela ni nani iwapo hata wananchi wake hawamujui Nyelele,ushahidi wakina masanja mkandamizaji walipokuwa SA.(2)aliisaidia nini Tanzania, (3) kunaulichopungukiwa au kuzidi alipo kufa au unasifu ujinga?
 
Kama mnajua kuna tofauti kati ya dola na chama kwani mnalazimisha kusema Kitila na wenzake walikuwa wanataka kufanya uhaini?

Uhaini=Treason. Tafuta tafsiri sahihi ya neno treason utaelewa Chadema walimaanisha nini. Tatizo nyie kila tafsiri mnaichukulia juujuu tu. Nakumbuka Mhe Wenje aliposema Bungeni kuwa Serikali hii ni impotent lol! Kila mtu alikuja juu eti atasemaje serikali ni -------? Ha ha ha kazi kwelikweli mkuu Ritz.
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    31.1 KB · Views: 44
Tujiulize kama Afrika kusini walipeperusha nusu mlingoti kifo cha nyerere, pia tujiulize mandeal alifanya nini kwa uchumi ambao CDM ndo wanapigania???
 
Mkuu hawa jamaa hawajui tofauti kati ya dola na chama. Hii habari imeanzishwa na Ridhiwani kwenye FB wall yake mpaka nikashangaa hivi huyu kasoma kweli?

Au kasoma ila hajaelimika? Kwanza wengine tunadhani hata kama hukusoma lakini Mungu akakupa bahati kuzaliwa katika familia kama yake utaelimika tuu kama unashughulisha akili yako na mazingira yaliyokuzunguka.

Nimejiuliza au ni akili za kurithi,maana kushindwa kutofautisha hilo ni jambo ambalo liko level ya Primary school

Alisoma kijanja janja tu...
 
Chama cha kihuni

chadema ni chama ambacho kiko kwa mujibu wa sheria za jmt kama ilivyo ccm,cuf,nccr na vingine ambavy nimevisahau. km vasco angekuwa kafa atleast ningeona logic ya kushusha bendera nusu mlingoti lakini kwa kiongozi wa kigeni bendera ya taifa husika inawakilisha bendera zote zilizopo hp nchini. hivyo vyama vilivyoshusha halfmast ni kwa utashi wao lkn sio suna ni faradhi.
 
Uhaini=Treason. Tafuta tafsiri sahihi ya neno treason utaelewa Chadema walimaanisha nini. Tatizo nyie kila tafsiri mnaichukulia juujuu tu. Nakumbuka Mhe Wenje aliposema Bungeni kuwa Serikali hii ni impotent lol! Kila mtu alikuja juu eti atasemaje serikali ni -------? Ha ha ha kazi kwelikweli mkuu Ritz.

Chakaza

Katiba ya nchi ndiyo inatambua kosa la uhaini, Kikundi cha watu wanaopanga kumuondoa rais wa nchi kwa njia isiyo halali ndiyo uhani.

Tundu Lissu kawapoteza sana.

Unaweza kunitajia kesi za uhaini ambazo zimeishatokea Tanzania?
 
Last edited by a moderator:
1459875_562079257201118_145891590_n.jpg
1457458_562079293867781_1310678335_n.jpg

hii imekaaje? uzalendo wetu kwa mandela umekaaje?

Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia
pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.
Chama kimefanya mengi sana, maendeleo
makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari
na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme
nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA
wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama
cha Mapinduzi. Mheshimiwa Spika, nikiendelea
mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya
jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari
katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea
mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu
wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita
akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna
lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni
lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA
KUTULETEA MAENDELEO?"
(Makofi) kwa! Kwa! Kwa!
 
Back
Top Bottom