Mbolea ya Bioplus ni mkombozi kwa wakulima

Mbolea ya Bioplus ni mkombozi kwa wakulima

chikuyu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
277
Reaction score
179
*BIOPOWERPLUS ORGANIC FOLIO FERTILIZER*

Hii ni mbolea isiyo na kemikali hata kidogo, ni mbolea iliyotokana na viumbe hai yaani wanyama na mimea ya magugu maji, mbolea iliyotengenezwa baada ya utafiti wa kina kufanyika nchini China na kutengenezwa katika muunganiko wa viwanda vitatu vikubwa bora zaidi duniani.

Mbolea hii haina madhara kwa binadamu wala wanyama hivyo unaweza kula mazao yako hata baada ya kuitumia , pia imesheheni virutubisho vingi Kama vichochezi au hormone, vitamin na madini yote muhimu ambayo huhitajika katika mimea yaani *macro nutrients* na *micro nutrients* wakati mbolea nyingi za viwandani huwa na *macro nutrients* tu.

*MAZAO GANI UNAWEZA KUTUMIA MBOLEA HII??*

Mbolea hii inaweza kutumika kunyunyizia mazao au mimea yote haibagui, hivyo unaweza kuitumia kwa mazao kama nafaka yaani (mahindi, mpunga, ngano mtama, ulezi, nk)

Jamii ya mikunde kama (maharage,kunde,mbaazi,choroko, dengu, nk), vilevile maua , majani ya bustani , miti ya matunda kama ( maembe , mapera, malimau, mapapai nk)...mboga mboga za majani na mazao yenye kutoa matunda kama ( matikiti maji, vitunguu, nyanya, hoho, Pili pili ,kabeji ,spinachi nk)..pia mazao yanayohifadhi chakula chake ardhini kama vile (viazi,vitunguu,karanga,mmihogo, njugu mawe na mananasi nk)...vilevile mazao ya biashara kama vile (pamba,alizeti, karafuu, korosho ,na kahawa nk ) na mengine mengi.

*VIAMBATA MUHIMU VYA MBOLEA HII*

Kwa kuwa imezingatia mahitaji yote ya mmea ikiwa ni pamoja na virutubisho vyote vinavyohitajika kwa wingi katika mmea (macro nutrients) mbolea hii ina *Nitrogen, Phosphorus, Potassium, Calcium, Magnesium na Sulpher*

Pia mbolea hii ina (micro nutrients) yaani madini au virutubisho vyote vinavyohitajika kwa kiwango kidogo katika mmea vikiwa ni *Zinc, Ferrous, Copper, Boron, Manganese, Silicon, Molybdenum, Sodium, Cobalt, na Chlorine*.

Kwa kuwa Amino acids ni muhimu katika ukuaji wa mmea ,mbolea hii imesheheni aina zote nne za Amino acids. Amino acids huusaidia mmea kukua haraka, kuwa na ujazo mkubwa, huusaidia mmea kupambana na magonjwa na ni vigumu kuadhiriwa na magonjwa mbali mbali. Mbolea hii huhifadhiwa katika ujazo wa liter moja (1000ml).

*MATUMIZI YA MBOLEA HII*

~Mbolea hii hutumika Kwa kuinyunyizia katika mazao na wakati mwingine kulowekea mbegu.
~Mbolea hii unaweza kutumia kwa kupandia na kukuzia mazao.~Kutokana na mbolea hii kusheheni virutubisho vingi zaidi katika ujazo mdogo unapata fursa ya wewe mtumiaji kuichangaya na maji kwa kiwango elekezi kabla ya kuitumia ili uweze kutumia katika eneo kubwa na uwe na matumizi mazuri ya pesa zako.

~Chupa moja(1)ya mbolea utaitumia katika heka mbili (2) za shamba lako:-

1. Unaweza kuchanganya litter 1 ya mbolea katika litter 1000 za maji.

2.Kama shamba ni dogo yani heka moja tu unaweza kuchanganya kifuniko cha mbolea yaani mills 50 za mbolea kwa litter 50 za maji, nyunyizia mpaka umalize kisha changanya tena kama shamba halijakamilika.

3. Kama ni kijibustani unaweza kuchanganya 5mils/5cc za mbolea na kuchanganya na litter 20 za maji.

NB: *Mbolea hii haiunguzi mazao wala haina madhara kwa mmea hata ikizidishwa vipimo*

*WAKATI GANI UTUMIE AU UNYUNYIZIE MBOLEA HII?*

Unashauriwa unyunyizie mazao yako wakati wa alfajiri mpaka asubuhi ya saa mbili na nusu ambapo jua halijawa Kali na wakati wa jioni kuanzia saa kumi na moja jua likiwa limezama, hii ni kwa sababu mmea utafyonza mbolea yote na virutubisho vyote kwani kwani stomata zitakuwa wazi na madini au virutubisho vya mbolea havitaharibika kwa jua. Unashauriwa uichanganye na maji wakati unataka kuitumia , iwapo itabaki mfano ni asubuhi basi itumie siku hiyo hiyo jioni kunyunyizia.

*JINSI YA KUNYUNYIZIA MBOLEA HII*

Kuna njia nyingi sana zikiwemo

~kubeba kifaa mgongoni chenye dumu na bomba na kunyunyizia shamba lako.
~Unaweza kumwagilia mbolea katika mazao kwa njia ya drip(drip irrigation).
~Unaweza kutumia sprinkler ama kifaa chochote kurusha maji
~ Katika shamba la miti mirefu unaweza kunyunyizia katika mizizi na matawi.
~Kutafuta utaratibu wa kutengeneza mfumo wa kunyunyizia kama mvua inyeshayo hasa kama mazao ni mafupi au kama la Maua na mboga mboga au kama shamba ni kubwa sana.

*MATOKEO/MABADIRIKO*
Baada ya kuitumia mbolea hii matokeo mazuri utayaona mapema sana yaani baada ya siku saba (7) tu.

*FAIDA YA MBOLEA HII*

Mbolea hii inakuhakikishai mambo mengi ikiwepo

~Kuongeza uwezo wa mmea kufyonza madini lishe mbali mbali kutoka katika udongo na pia kuotesha mizizi na matawi haraka.

~Kuongeza uwezo wa mmea kujitengenezea chakula chake.
~Huongeza rutuba ya shamba lako na uhifadhi wa unyevu nyevu kwa muda mrefu.
~Pia hurudisha *PH* ya udongo kufikia kiwango kinachohitajika kwa mmea yaani kati ya 6-8
~Huwezesha mmea kuhimili upepo mkali, ukame, baridi Kali, na magonjwa.
~Hufanya mmea kuota mapema na iwe na Afya njema nk.
~Huongeza thamani ya mazao yako kwani huwa mengi ,makubwa , yenye rangi na ladha nzuri na yenye kuvutia sana.

BEI YAKE:-

Chupa moja ambayo waweza kutumia kwa Ekari mbili au zaidi inauzwa kwa shilingi za kitanzania 80,000/= ila ukichukua kuanzia chupa mbili au zaidi unauziwa kwa shilingi za kitanzania 70,000/=

*Ahsante na karibu sana:

Contacts 0713388317/0757749641*
 
Maelezo ni mazuri, lakini je, hiyo mbolea imethibitishwa na TBS? Maana kwa bidhaa za Kichina mara nyingi maelezo yanayotolewa ni tofauti na uhalisia, na pia ubora wa bidhaa nyingi za kichina ni wa kutia shaka
 
Chikuyu wafanya biashara wote wa mbolea na viatilifu,hua wanatoa bure kiasi cha bidhaa yao ili itumike kama darasa kwa wakulima (shamba darasa),je wewe uko tayari kutoa Japo lita moja ili itumike kama shamba darasa.
 
Mkuu kwanza nikueleweshe kitu kimoja. Kibali cha kuuza mbolea kinatolewa na TFRA. Hii mbolea iko ISO certified. Ni mbolea ambayo internationally inajulikana sana, jaribu kugoogle uone siri ya mafanikio ya kilimo huko Nigeria na Ghana. Siri kubwa ni hii mboela ya Bioplus.

Kuhusu bidhaa za kichina, hakuna nchi duniani inayotengeneza vitu original duniani kama china. Sema tu sisi watanzania ndo huwa tunaenda kuzoa vitu vya bei nafuu na ndoo maana tunapewa vitu feki. Sisi tunadeal moja kwa moja na kampuni ya Nepstar. Kama unajua historia kidogo ya kampuni ya Nepstar (Neptunus) before change of trading name; ni kampuni kubwa nne duniani ziliungana kutengeneza bidhaa za afya na kilimo. Kwa hiyo usiwe na shaka kabisa juu ya ubora wa hii mbolea Mkuu!
 
Chikuyu wafanya biashara wote wa mbolea na viatilifu,hua wanatoa bure kiasi cha bidhaa yao ili itumike kama darasa kwa wakulima (shamba darasa),je wewe uko tayari kutoa Japo lita moja ili itumike kama shamba darasa.
Mkuu hii mbolea imeshafanyiwa shamba darasa kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kupewa kibali rasmi cha kuanza kuisambaza. Shamba darasa katika kipindi cha utafiti lilifanyika Uyole huko Mbeya. Ukitaka kujua ubora wa mbolea hii waulize wazee wa kinyakyusa wa huko Uyole watakusimulia.. Waliitest wakatamani ianze kuuzwa kabla ya hata kibali final cha TFRA hakijatolewa. Waliweka order ya mboela zaidi ya million thelathini ili kibali kikitoka tu wasikose mbolea hii adimu na murua kabisaaa...
Kwa hiyo ndugu shamba darasa limefanyika kabisaa tena kwa miaka mitatu.. Huwa hatubahatisha tukianza kutangaza biashara! Karibu sana hutajuta ukinunua na kutumia mbolea hii. Kuna vitabu vya maelezo ya namna ya kutumia kwa mazao mbalimbali.. Ondoa shaka ndugu karibu sana!!
 
Nielekeze uyole sehemu gani mlifanyia shamba darasa,mimi nakaa mbeya uyole,na ni mdau wa kilimo mkubwa sijawahi kisikia hiyo mbolea! Hata hivyo hii nchi haina wakulima milioni 30 kama unavyosema acha maneno ya kitapeli.

Kitu kingine,majaribio ya mbolea uyole hayaharalishi matumizi ya mbolea hiyo dodoma,kwamana hiyo ukitaka kuuza mbolea hiyo dodoma,lazima shamba darasa liwepo la kufanyia majaribio katika eneo hilo.

Chikuyu wakulima wa kipindi hiki si wajinga kiasi hicho unachofikiri wewe!

Siku hizi wafanyabiashara wakubwa wote wa mbolea,wanashinda mashambani,wanatoa mbolea za bure za kufanyia majaribio,zikifanya vizuri wakulima wanawatafuta wenyewe.
 
Mkuu kuwa mwelewa kidogo. Acha maneno ya kukashifu na kukatisha tamaa watu wanaohitaji.
Kama kweli uko uyole na uko serious unahitaji hii mbolea piga no. hii hapa (0718963972) kwa wakala wetu wa Mbeya akupe maelezo yote. Sisi tuko nchi nzima. Mimi niko located central zone.
Yawezekana uko Uyole lakini hukuwa na taarifa yoyote kuhusu hii Mbolea. Imeanza kufanyiwa utafiti Mwaka 2013.

Nahisi hukunielewa vizuri nilivyosema milioni 30. Nilisema hivi baada ya kufanyiwa testing huko uyole, wazee waliikubali sana, wakajikusanya wakulima katika vikundi vyao wakaweka order ya mbolea yenye thamani ya shilingi million 30 hivyo ilivyofika tu waliinunua.
Mpigie huyo Mr. Anaitwa Chaka yuko huko Mbeya.

Laiti ungekuwepo nanenane Mbeya wala usingetilia mashaka hii mbolea. Mimi nakuhakikishia kuwa kama uko serious na kilimo kabisa basi nunua mbolea hii kamwe hutakaa ujute.
Piga number hiyo ya chaka muongee akuelekeze huko Mbeya Mkuu..
 
Taja jina la office yenu na mahali ilipo mbeya,nitaenda ofisini kwenu.
 
Taja jina la office yenu na mahali ilipo mbeya,nitaenda ofisini kwenu.

Ofsi inaitwa NEPSTAR TANZANIA MBEYA BRANCH. Iko hapo Mbeya Mjini ukifika tu utaelekezwa maadam nimekupatia number za kupiga hapo. By the way, kama unafahamu Chuo na Kituo cha Majaribio ya Kilimo MARTI kilichoko UYOLE MBEYA, hicho ndo kituo cha utafiti kilichofanya majaribio ya Mbolea hiyo kwa muda wa miaka mitatu na kujiridhisha pasipo shaka kabisa! Ukipata fursa fika hapo chuoni uulizie tu kuhusu mbolea ya Bioplus watakupatia data zoteeeee kabisaaa!!
Karibu sana mkuu!!
 
Nitaenda pale chuoni,japo kile chuo kina ubabaishaji mkubwa sana,kiufupi hakina sifa ya kutoa wataalamu
 
Nitaenda pale chuoni,japo kile chuo kina ubabaishaji mkubwa sana,kiufupi hakina sifa ya kutoa wataalamu
OK ila pia ukibahatika fika ofsini kwetu, ukishafika Soweto Sokoni utakuwa umefika. Piga simu tu utafika, Utajionea na mbolea zenyewe!
 
Je, kuna ofisi yenu Dar?

Hiyo mbolea inapatikana ofisini kwenu tu au pia kwenye maduka ya pembejeo za kilimo?
 
Je, kuna ofisi yenu Dar?

Hiyo mbolea inapatikana ofisini kwenu tu au pia kwenye maduka ya pembejeo za kilimo?

Yes Dar tupo. Tuko Ubungo Plaza second floor. Ukihitaji utanipigia kwa number hii 0713388317 utaipata mbolea.
Kwenye maduka ya pembejeo za kilimo hakuna. Ni kwenye maduka yetu tu..
 
je, mpo tayari kulipa fidia kama mbolea yenu haita Fanya KAZI?

Ukinunua kuna kitabu chake pia unapata cha maelekezo ya namna ya kuitumia mbolea hiyo. Ukifuata kanuni zote kama ilivyoelekezwa hamna namna mbolea hii inaweza isifanye kazi. Kwa Africa Tanzania ni mojawapo ya nchi nyingi ambazo zimepata fursa ya kuitumia mbolea hii, nchi nyingine ambazo mbolea hii imefanya maajabu na mapinduzi makubwa katika sector ya kilimo ni Nigeria, Ghana, Kenya etc... Kwa hiyo mbolea yetu haina mashaka kabisaa.. Na ni Organic fertilizer mkuu siyo inorganic. Ondoa shaka kabisaaa!!
 
farm.jpg

Maajabu ambayo yametokana na mboela hii ya Bio Plus kwa jirani zetu wakenya ndo kama inavyoonekana hapo kwenye picha!!
 
Back
Top Bottom