Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Walipoona mbogo ni mkali sana na mtata sana wakaamua kujiita Mbogo, walipoona simba amekuwa mfalme wa nyikani na mbabe kwa akina mbogo, wakaamua kujiita Simba, haya sasa ACT imekuja kama tufani iliyopandwa na upepo wa kihafidhina, je, hawa watu watajiita ACT?
Pamoja na hayo, hivi kwa umakini, umahiri na uhodari wa Dr. Wilbroad Slaa laiti angepata fursa aliyokuwa kaiomba CCM angekuwa waziri mzigo sasa? HAPANA, asingekuwa mzigo, iweje sasa hawa wengine watabiriwe kuwa hivyo ikiwa ndio kwanza safari imeanza? Muda ndio kila kitu, na mwenye kushua chombo lazima aseme na pepo kwanza.
TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE.
Njano5.
0784845394.