Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Kiafya unatakiwa ule yai lote ila yasizidi 5 kwa siku na yawe ya kienyeji
Inadibidi tujue jinsi ya kujizuia na kuwa na kiasi.

Hata kama unapesa ya kununua trays za mayai lakini lazima ujue kujizuia

Kitaalam inashauriwa mtu kula mayai 2-3 tu kwa wiki moja tena hasa sehemu nyeupe!

Sasa wabongo akijaliwa vijisenti kidogo basi atayatifua mayai mpaka basi!

Hata nyama vivyo hivyo n.k
 
Vyote hivyo nakorofisha pia hupenda nyama ya kukaanga kwa ugali pembeni kuna kachumbari pia prawns wa kukaanga lakini unaacha sosi kidogo hawa ni kwa wali. Sasa hivi niko kwenye zoezi kali sana la kujifunza kupika pilau. 😋😋😋😋 Mie pia sipendi kula nje nafanya hivyo mara moja moja sana.
Hujui kupika pilau 😅😅

Prawns! Nawaogopa hata kwa kuwaona
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ina maana huli prawns? 🍤 Zoezi kali linaendelea mwisho wa mwezi huu au mid November nataka niwe mtaalam wa kupika pilau.

Hujui kupika pilau 😅😅

Prawns! Nawaogopa hata kwa kuwaona
 
Basi hao walipikwa vibaya mie mwenyewe mara ya kwanza kupikwa home na chapati nikawakacha mara ya pili nikaambiwa onja japo mmoja tu basi nikaonja tangu siku hiyo nikawa hooked.

Sili, nilishajaribu wakanishinda
 
Ukishaweza pilau anza kujifunza kupika chapati za kusukuma na usisahau kujifunza kukuna nazi
Vyote hivyo nakorofisha pia hupenda nyama ya kukaanga kwa ugali pembeni kuna kachumbari pia prawns wa kukaanga lakini unaacha sosi kidogo hawa ni kwa wali. Sasa hivi niko kwenye zoezi kali sana la kujifunza kupika pilau. Mie pia sipendi kula nje nafanya hivyo mara moja moja sana.
 
Min napenda ugali na mboga ya majani Chinese...iungwe na mafuta na kitunguu TU na chumvi..

Napenda ugali samaki... Ugali kisamvu na ugali maini.
 
Kuna mbaba mmoja humu nilijua atakuwa anakaribia kupata wajukuu kumbe hadi leo anapika mwenyewe, nimeona aibu kali mie juu yake.
kuna wababa wengine wanapika wenyewe kwasababu familia zipo mbali usimuonee aibu kwasababu sio kila baba anaepika mwenyewe hana familia (mke+watoto).
 
Ukishaweza pilau anza kujifunza kupika chapati za kusukuma na usisahau kujifunza kukuna nazi
nazi nilikua nakuna sana sema kadri muda ulivyozidi kwenda kitambi kikaniangusha maswala ya kuinama inama yananishinda,nikanunua mashine ya kukunia nazi maana napenda sana mboga zakupikwa na nazi natural tu na sio ile ya dukani ya bakhresa na zinginezo.
 
nazi nilikua nakuna sana sema kadri muda ulivyozidi kwenda kitambi kikaniangusha maswala ya kuinama inama yananishinda,nikanunua mashine ya kukunia nazi maana napenda sana mboga zakupikwa na nazi natural tu na sio ile ya dukani ya bakhresa na zinginezo.
Hii tunaita kasheshe
 
Min napenda ugali na mboga ya majani Chinese...iungwe na mafuta na kitunguu TU na chumvi..

Napenda ugali samaki... Ugali kisamvu na ugali maini.
napenda sana chinese sema kuna wajinga hupenda sana kusema eti zinapunguza nguvu za kiume,nimegoma kuwasikiliza Nitamsikiliza tu maza mjengo kama nae ataniambia hvyo ndio ntaacha,otherwise chinese itabaki pale kama mboga yangu ya majani pendwa.
 
Hahahahaha hiyo kitu hapana aisee nazipenda sana ila zoezi lake hapana kabisa.
Mazingira ya uandaaji chapati ndio yanawafanya wengi kuona zina kipengele na zoezi,Tafuta sehemu level ya kusimama meza iwe level ya chini kdg ya kiuno chako andaa vifaa vyako chukua unga anza kuchanganya kanda Mbona simple sana unafanya kazoezi flani kama unafua tu nguo (raha sana)

uwe tu na muda usiwe na haraka na ufanye ukiwa unapenda unachokifanya,utatoa chapati laini zakumimina zinasubiri,chapati ni chakula kinachohitaji muandaaji usiwe na haraka na utulize mawazo wakati wakuandaa unga na kuweka vi taste taste ktk unga unaokanda,kama una Muda oooh chapati ni moja ya vyakula vitamu sijapata ONA tena za kusukuma (laini) mama weeeee...
 
Back
Top Bottom