Imegundulika kuwa 90% ya watanzania wanakula mboga za kichina. Mboba hizi ni hatari kiafya kwani zilitengenezwa kwa lengo la kukidhi mahitaji ya 'population' kubwa ya wachina badala ya kujali virutubisho ! mboga hizi zinazaa kwa wingi na katika mazingira yasiyomazuri. Ushauri watu waache kula 'chinise' kwani ni mboga ya kichina na iliyotengenezwa maabara ili izae sana lakini ina madhara sana hasa kwa wanaume !