Mboga tayari

Mboga hiyo ukiichanganya na dagaa kisha ugali pembeni, asikwambie mtu kijasho lazima kitoke.
 
Khaaa! sasa mbona umeandaa mboga asubuhi yote hii mkuu badala ya chai/ supu? Au wewe kifungua kinywa chako huwa ni Ugali/kiporo cha wali?
 
Bonge la bamia...lakini hivyo vyeupe virefu virefu ni nini? inatia wasiwasi, na hasa mtu mwenyewealiyeleta akiwa ni mshana jr. teh teh teh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivyo ni vitunguu
 
Unapata papa wa kuchoma na biringanya, la kuchoma. Pembeni kuna bada.
 
daaaaaaaaaah ! ngoja nikanunue ka kilo cha dona nije kula kabisa yaani nguna kwa PICHA aiseeeeee ! hiiiii kitu hiii kiituuu hiiiiiiiiii
 
Ugali wa muhogo na samaki wa kuchoma pembeni kilo nzima inaisha bila kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…