Mboga Saba: Karibuni wakuu!

Mboga Saba: Karibuni wakuu!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
mboga.jpg
 
Ah hebu kula huko....mie nikikaribia hatushibi🙄🙄🙄🙄🙄
 
Dah mmenichekesha kweli,

Yaani kuna mbilimbi, vitunguu maji, kachumbari, ndondo, mchicha, serwa, na nyingine sijui nini ipo chini ya mpunga, fishi... farkhina leo haupiki?

ongezea karoti,pilipili hoho
 
Last edited by a moderator:
Kwa mama ntilie hapo 1500 tu, ucjidai
 
Dah mmenichekesha kweli,

Yaani kuna mbilimbi, vitunguu maji, kachumbari, ndondo, mchicha, serwa, na nyingine sijui nini ipo chini ya mpunga, fishi... farkhina leo haupiki?

Hahahaha bado mida...ntakuita uje kula
 
Last edited by a moderator:
Acha niende zangu forodhani naona hata dalili ya mahanjumati hakuna leo,

donlucchese
hiyo mboga saba wapi inapatikana, very healthy sema inakosa fresh juice ya ukwaju tu.
ni kweli mkuu sema unfortunately hilini pishi la biMkubwa wangu kihome tu kwaajili ya familia.
 
Back
Top Bottom