danceforme
JF-Expert Member
- Aug 3, 2026
- 488
- 1,176
Biashara ikichagizwa na Pesa..Imefanya kuharakisha michakato kinyume na uhalisia wake..
Kwahiyowakikojolea wasio walevi hakuna tatizo kwako?Huwa ninanunua mboga za majani kwa mkulima wa karibu, ninajua utaratibu wake. Waweza kununua mboga ambazo watu walikojolea usiku hasa walevi.
Umefanya vizuri kutupa tahadhari
Kwasasa sio mboga za majani pekee, hadi mpunga upo wa kisasa, mahindi ya kisasa, ng'ombe wa kisasa, kuku wa kisasa
Ninapoandika kisasa, namaanisha wanapigwa sindano za dawa ambazo kwenye miili yetu zinageuka sumu
Kwa yeyote mwenye nafasi, panda bustani ya mbogamboga nyumbani kwako yawe mbadala wa maua.
Badala ya kupanda miti nyumbani kwako, panda miti ya matunda ambayo utaweza kuyahudumia na kupunguza kiwango Cha sumu
Ushauri zaidi, Kila mmoja awe anakunywa japo glass 4 za maziwa kwa wiki
Tupunguze unywaji wa pombe na badala yake tunywe maziwa
Hili ni muhimu ili kuweza kupata Wazee miaka 50 ijayo, vinginevyo kutakuwa na Wazee wachache kufikia mwaka 2060 maana wengi watakuwa wamepunguzwa na hayo ya juu
Swali zuri kibenaNitatofautisha vipi mboga ilopigwa dawa chafu na mboga iliyo salama?
Tafuta supply awe anakuletea, lazima atakuletea yenye ubora na maziwa mazuriHayo maziwa yapo salama kwa kiasi gani
Mboga nyingi za DSM sio salama, bora kuwa na bustani yako nyumbaniUpo sahihi kabisa.
Tena kwa Dar ndio kabisa hali imekuwa mbaya watu wanaangalia biashara hawajali kitu kuhusu afya ya wanunuzi au watumiaji.
Mfano ukitembelea maeneo ambayo wanalima hizo mbogamboga utakuta ni maeneo yale ya bondeni kabisa.
Ambapo huko ndio uchochoro wa maji taka yote ya mtaani kuanzia vyoo, hadi taka za viwandani.
Na bado kama hiyo haitoshi wanapuliza tena na dawa zao kustaawisha na kuzuia wadudu.
Kitu pekee ambacho nakiona walau kipo safely ni samaki wabichi na hawa wawe fresh kutoka feli.
Ukipata mzabuni(supply) wa kukuletea Kila siku, atakuwa anakuletea maziwa salama kuliko hayo ya mtaani, ambayo ni kazi kujua Usalama wakeMaziwa yenyewe sasa😀
Oh!. Asante sana kwa ushauri mkuuUkipata mzabuni(supply) wa kukuletea Kila siku, atakuwa anakuletea maziwa salama kuliko hayo ya mtaani, ambayo ni kazi kujua Usalama wake
Nitatofautisha vipi mboga ilopigwa dawa chafu na mboga iliyo salama?
🙏🙏🙏Oh!. Asante sana kwa ushauri mkuu