Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

Habari wakuu,

Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa

Maana nikirud home nakua nimechoka sana

Asanteni
Mayai 3 ya buku katia nyanya, kitunguu,karoti,na hoho ukipenda halafa kaanga hapo dakk 3 tu na ugali mkubwa, usisahau kuleta ushuhuda hapa jukwaan
mboga ya yai fasta sana
 
Dagaa wa kukaanga.. (Uduvi) pemben uwe na chumvi na pilipili ya kukata.

Hii mboga ni compatible na

1- UGALI
2- WALI
3- CHAPATI
4- MAANDAZI

unaweza pitia kwa mama ntilie maharage ya jero ukamwagia kwa juu ya wali na hao dagaa..

Utakula kilo 1 usipokuwa makini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom