Mbishi zaidi ya sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbishi zaidi ya sana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KML, Aug 29, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamaa wawili wabishi walikua wakibishana,walibishana karibia siku nzima hawafikii muafaka mwishowe mmoja wao akaona isiwe tabu akakubali kushindwa akamwambia mwenzake basi umeshinda,yule jamaa bado akabisha kwa kukataa ushindi anadai hajashinda...mbishi zaidi ya mbishi.
   
 2. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  *Yawns*...
   
Loading...