Mbio za Urais 2015 CCM patachimbika

Tujaribu kufikiria jambo moja kwamba rais atoke visiwani wakati wanaye rais tayari. Kama tungekuwa na serikali ya Tanganyika hilo si tatizo, lakini kama serikali ya Tanganyika ndio hii hii ya Muungano, sioni sababu ya Rais kutoka visiwani kuja kututawala wabara. Hapo ndio matatizo ya muungano yanapofumuka fumu fumu kama kila upande ukiwa ngangari kuongoza serikali ya muungano. Hawa wazanzibari wanakula huku na kule wakati watanganyika tunakula bara tu.
 
Back
Top Bottom