OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,092
- 114,644
CCM Oyee!!!Leo imedhihirika kuwa sera ya kubana matumizi ni sanaa tu.Kipi muhimu kati ya maadhimisho ya uhuru wa nchi na "besidei"?Kwamba matumizi ya CCM pale Namfua Singida ni ya chama sio ya serikali,je zile pesa za sherehe za wabunge zilikuwa za serikaki?Tuliambiwa ni mashirika yamedonei!!Yote ya yote mbio za Mwenge zinaenda kuhitimisha sanaa za kubana matumizi.CCM ilishawahi kuapa kuwa huwezi kusitisha mbio za mwenge?