Seif al Islam
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 2,156
- 638
Ni ajabu lakini ni kweli.Mnaofatilia mienendo ya baadhi ya mawaziri na manaibu waziri wateule mtaona jinsi ambavyo viongozi hao wanajisahaulisha majukumu yao ya msingi na kuanza kufanya matendo na shughuli za "kujisafishia njia"
Ziara za kutembelea viongozi wa dini na ziara zingine za "kustukiza" na zilizojaa waandishi lakini zisizo na tija zimekuwa kawaida.
Aina hii ya watendaji inatupotezea muda kama taifa.Ni hasara na mizigo.