Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
Futari bila hicho kitoweo bado haijawa futariKitoweo hicho!
Mkuu, nimetania tu, Ila ukienda kwa hawa Maaskari wa wanyama pori (Ant porchers) kama sijakosea huwa wanatoa mafunzo na hata msaada wa jinsi ya kuwacontrol, either kuwapunguza au kuwafukuza.Jamani, hakuna kwenye uzoefu?
Hamia mjini mkuuNguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao.
Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
Nitafute nikusaidie 0744033555Nguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao.
Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
weee jamaa wee! kwa hiyo unamshauri afuge simba au chui sio?!Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
Hivi Simba anaweza Kweli kumuua nguruwe pori.Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
Maliasili hawatamuacha salamaKamata chinja mzee wangu siunajua iyo kitu kwa rosti na ndizi mzee sio mchezo!!! Weka mitego fungua bucha kabisa la nguruwe pori
Simba huwa anajiuliza mara mbili mbili Kwa Tembo na Faru tuuu, tena wale wakubwa, wengine wote wanachapika fresh tuuHivi Simba anaweza Kweli kumuua nguruwe pori.
Mmhhh!!!,Anamwezaje na yale meno ya nguruwe pole?.Haya Kuna mnyama anaitwa Kiboko unataka kusema na yeye anachapika na Simba?.Simba huwa anajiuliza mara mbili mbili Kwa Tembo na Faru tuuu, tena wale wakubwa, wengine wote wanachapika fresh tuu
Ni mara chache Simba na kiboko wakakutana , sababu mda mwingi kiboko yupo ndani ya maji, Ila imeshuhudiwa mara Kwa mara kundi la Simba wakimshambulia kiboko , Tembo na Faru ni aggressive thus why ni nadra Sana Simba huwa serious dhidi Yao japo ikibidi Simba huwa hawana simile wanazichapa Tu fresh , na hapa Simba lazima wawe kundi.....Mmhhh!!!,Anamwezaje na yale meno ya nguruwe pole?.Haya Kuna mnyama anaitwa Kiboko unataka kusema na yeye anachapika na Simba?.
Dah!!!,Siku ya kuuona mtanange wa Simba na Kiboko itakuwa very interesting.Ni mara chache Simba na kiboko wakakutana , sababu mda mwingi kiboko yupo ndani ya maji, Ila imeshuhudiwa mara Kwa mara kundi la Simba wakimshambulia kiboko , Tembo na Faru ni aggressive thus why ni nadra Sana Simba huwa serious dhidi Yao japo ikibidi Simba huwa hawana simile wanazichapa Tu fresh , na hapa Simba lazima wawe kundi.....
Kuna kitu kinaitwa hofu , wanyama wengi porini Wana hofu dhidi ya Simba , ndo mana unaweza kuta kundi la nyati hata hamsini wanakimbizwa na Simba mmoja , Kwa akili ya kawaida unawaza wanashindwaje kumchangia na kumpiga kuliko kukimbia....
Huyo nguruwe Pori sjui ndo ngiri ni chakula kitamu mno Kwa Simba , na Simba hatishiki hata kidog..... yeye mwenyewe akimuona Simba anachora speed ya mwanga
Ingia YouTube zpo nyingi tuu za watalii waliobahatishaDah!!!,Siku ya kuuona mtanange wa Simba na Kiboko itakuwa very interesting.