Mbinu zipi zinaweza kutumika kudhibiti uharibifu unaofanya Nguruwe Pori?

PWIDA

JF-Expert Member
Jun 20, 2007
318
500
Tafuta mchungaji wa yaha nini international church afungue kanisa hapo karibu na shamba, nakupa miezi sita tu, utasikia habari ya nguruwe mwitu watakua wameisha wote
 

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
5,113
2,000
Nguruwe Pori ni moja ya wanyama wenye uharibifu mkubwa kwenye mazao.

Ni zipi mbinu rahisi za kuwadhibiti wanyama hawa?
Mkuu huwa nakumbana na adha za hawa wanyama,na niwengi sana huku liwale maeneo ya mpiga miti,njia ambayo huwa natumia kupambana nao ni kutumia mavi ya mbuzi ambapo huwa nayazungushia shamba kwa mafungu,nguruwe hawezi kusogea maana huhisi kama ni harufu ya simba,hivyo watahama.

Hebu jaribu uone matokeo yake.
 

Azizi Mussa

Verified Member
May 9, 2012
8,789
2,000
Sikiliza, tafuta sumu tu kama hutaki kuwala, itege mahali.

Au, tafuta machicha ya gongo yale yanalewesha vibaya sana. Utawakamata vizuri sana kisha utawafanya unachotaka. Hii mbinu itakusaidia hata kwa ndege waharibifu kama kanga na kware
Machicha ya gongo ni kitu gani mkuu?
 

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,676
2,000
Uharibu huo huo unaofanywa na nguruwe pori kwenye mazao yako ndio uharibifu huo huo aliokuwa anaufanya jiwe na ccm yake na magenge yake mengine ya wahuni kwenye nchi yetu
 

Gepard

Senior Member
Feb 8, 2021
190
250
Hvi nguruwe Pori ndo wale warthog or pumba , sjui ndo ngiri .... Moja ya wanyama watamu Sana Kwa Simba au chui
Hapana mkuu nguruwe pori ni bush pig. Pumba au ngiri ndio warthog. Neno pumba limekuwa maarufu hata kwa wazungu kutokana na movie ya lion king ambayo waliishoot kwenye Serengeti ecosystem. Pumba kwa maana rahisi ni with little intelligence.
 

Gepard

Senior Member
Feb 8, 2021
190
250
Kiboko ambae ni full matured Simba hafui dafu. Labda wamchangie kundi na awe mbali na maji. Mana nyakati za jion anaweza kwenda hata kilometer 4 kutafuta majani arud alfajiri kwenye maji. Ila hata ivyo bado Simba watakuwa wamejirisk Sana.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
22,524
2,000
Ni mara chache Simba na kiboko wakakutana , sababu mda mwingi kiboko yupo ndani ya maji, Ila imeshuhudiwa mara Kwa mara kundi la Simba wakimshambulia kiboko , Tembo na Faru ni aggressive thus why ni nadra Sana Simba huwa serious dhidi Yao japo ikibidi Simba huwa hawana simile wanazichapa Tu fresh , na hapa Simba lazima wawe kundi.....

Kuna kitu kinaitwa hofu , wanyama wengi porini Wana hofu dhidi ya Simba , ndo mana unaweza kuta kundi la nyati hata hamsini wanakimbizwa na Simba mmoja , Kwa akili ya kawaida unawaza wanashindwaje kumchangia na kumpiga kuliko kukimbia....

Huyo nguruwe Pori sjui ndo ngiri ni chakula kitamu mno Kwa Simba , na Simba hatishiki hata kidog..... yeye mwenyewe akimuona Simba anachora speed ya mwanga
Achana na documentary.

Wanyama wala nyama kama simba na chui hua hawawezi kujihatarisha kupambana na mnyama anayeweza kuwadhuru unless ndiyo imekua hamna namna kwahiyo hata nyumbu, nyati, fisi, kwao siyo chaguo la kwanza.

Chaguo la kwanza hua swala, pundamilia, pofu, hao nguruwe pori n.k. kusema kwamba simba wanaweza kujipanga ili wamshughulikie Kiboko aisee ni hatari hii. Mamba mwenyewe, a deadly predator, hajamuweka kiboko kama chaguo la kwanza la chakula. Na anaishi naye humo humo kwenye maji.
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,361
2,000
Achana na documentary.

Wanyama wala nyama kama simba na chui hua hawawezi kujihatarisha kupambana na mnyama anayeweza kuwadhuru unless ndiyo imekua hamna namna kwahiyo hata nyumbu, nyati, fisi, kwao siyo chaguo la kwanza.

Chaguo la kwanza hua swala, pundamilia, pofu, hao nguruwe pori n.k. kusema kwamba simba wanaweza kujipanga ili wamshughulikie Kiboko aisee ni hatari hii. Mamba mwenyewe, a deadly predator, hajamuweka kiboko kama chaguo la kwanza la chakula. Na anaishi naye humo humo kwenye maji.
Sasa mkuu documentary yangu na ulichokiandika kinatofauti gani boss ? Mimi nimeongelea in generally we umegusia sababu , ni mara kadhaa Simba wameshuhudiwa wakimshambulia hippo tena wakiwa kundi , japo ni kweli wanyama wakubwa huwa sio priority ya Simba , ni nadra Simba kumkuta akimshambulia Faru au Tembo mkubwa sababu hawa wanyama ni aggressive Sana inland , hippo akiwa inland anakuwa sio strong kama akiwa majini thus why mara kadhaa amekuwa victim Kwa kundi la Simba wenye njaa......labda uamue kupinga Tu boss
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom