EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Tanzania yaingiza tani 52,000 nyama ya nguruwe kutoka nje
Jumamosi, Mei 06, 2023By Hawa Mathias
Mwandishi wa habari
Mwananchi Communications Limited (MCL)
Muktasari:
- Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limefanya mkutano na wafugaji na wafanyabishara wanyama hao kutoka Mikoa ya Mbeya, Iringa, Katavi na Rukwa kujadili namna ya kukabiliana na magonjwa yanayowakabili wanyama hao na kuongeza uzalishaji.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ukihusisha wafugaji na wafanyabishara wanyama hao kutoka Mikoa ya Mbeya, Iringa, Katavi na Rukwa.
Kikao hicho kimelenga kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kuthibiti na kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mafuta ya nguruwe ambao umekuwa ni changamoto katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.