Mbinu za ushindi katika chaguzi - Zitto Kabwe

Mbinu za ushindi katika chaguzi - Zitto Kabwe

Bado Zittp anamatatizo, huo ufuasi wa misingi anaosema hajawahi kuukemea kwa kina Sonza, Mchange waliokuwa wafuasi wake live!!
Ameongelea Ilemela, Nyamagana...bila kugusia hila za CCM!! Kweli huyu ni mpiganaji dhaifu kabisa!! Halioni tatizo la hujuma za wazi za CCM!!
Ptu! yaani anaunga mkono mtu anaedhani anapinga ufuasi wa watu CDM ...abebwe na CCM!! CDM muangalieni huyu atawaangamiza!
 
Mchelea Mwana huchelewa Zitto Kabwe ni katika hatua zake za kujisafisha vumbi la unafiki na undumila kuwili,mimi nafurahi kwamba anajiona yuko kwenye kamba inayokatika na ndio mshahara wa mwovu anazungumzia habari za Mwanza wakati yeye alipaswa kuzuia yeye si ni naibu katibu mkuu alifanya nini anablanketi maneno akificha sababu uzuri huaminiki nawewe unajijua huaminiki chauma ndipo mahala pa salama kwako
 
Bado Zittp anamatatizo, huo ufuasi wa misingi anaosema hajawahi kuukemea kwa kina Sonza, Mchange waliokuwa wafuasi wake live!!
Ameongelea Ilemela, Nyamagana...bila kugusia hila za CCM!! Kweli huyu ni mpiganaji dhaifu kabisa!! Halioni tatizo la hujuma za wazi za CCM!!
Ptu! yaani anaunga mkono mtu anaedhani anapinga ufuasi wa watu CDM ...abebwe na CCM!! CDM muangalieni huyu atawaangamiza!
Waraka wa ben ulisema alikuwa akiwaandikia madiwani wa Arusha message wakatae kukubaliana na ushauri wa CC hakukanusha unajuaje kama hata nyamagana na ilemela alishiriki nadhani ana hasira anajua amejulikana kuwa kiongozi wa wasaliti kaamua kula sahani moja na chama chake cha zamani chadema
 
Makala nzuri lkn simuamini Zitto...hajanishawishi hata aje vipi.
 
humu ndani wamejaa watu wa taarabu na mipasho tuu siku hz, badala ya kujadili hoja wao kila siku wanaacha hoja ya msing na kuanza kujadili watu. Mi nafikiri makala hii ya kusimamia mising sio watu inawahusu
 
Waraka wa ben ulisema alikuwa akiwaandikia madiwani wa Arusha message wakatae kukubaliana na ushauri wa CC hakukanusha unajuaje kama hata nyamagana na ilemela alishiriki nadhani ana hasira anajua amejulikana kuwa kiongozi wa wasaliti kaamua kula sahani moja na chama chake cha zamani chadema

Mie sikutegemea kama Zitto angekuja kubofoa mamna hii!! japo nilikuwa simuamini, lkn this is too much!! Yaani uongelee kukosa umeya Ilemela na Nyamagana kwa kuangalia udhaifu wa ndani ya chama chake tuu!!?
 
Andiko zuri but naona kama huu ni mkakati wa ushindi wa chama sasa unatokaje kwenye public?
je tunataka kuwakumbusha washindani wetu namna ya kufanya mambo ili washinde?

ZKK kama ndie aliyeandika sina imani nae na cjui kwanini anafanya hivi

Huyu ni mnafiki hebu angalia alivyoelezea kuhusu arumeru mashariki na anasema kulikuwa na umoja hivi si ndo ZKK aliyeenda kutangaza kugombea urais wakati wenzake wapo bize kupigania jimbo?
nakumbuka kweli alitangaza kugombea urais kipindi cha kampeni Arumeru(lengo likiwa nikuwatoa watu kufuatilia kampeni na kumuongelea yeye), amewahi kutangaza pia kugombea Urais wakati Slaa akiwa kwenye Kampeni za Urais 2010. Watu tuna masikio na pia tunatunza kumbukumbu for future reference.
 
Zito huna sababu ya kutoa makala hii gazetini kwani wewe ni makamu mwenyekiti, unaweza kuliongea hili kwenye vikao vya chama, sasa hivi unatakiwa kutubu urudi kikosini. Acha undumilakuwili

Ni ngumu kwake kuacha undimila kuwili ,suluhisho ni yeye athibitike beyond doubt kwamba ni msaliti na atoswe nje ya chama.
 
Yaani ukifuatilia mambo ya zitto muda mwingine haeleweki anafuata siasa za aina gani!!!
 
nakumbuka kweli alitangaza kugombea urais kipindi cha kampeni Arumeru(lengo likiwa nikuwatoa watu kufuatilia kampeni na kumuongelea yeye), amewahi kutangaza pia kugombea Urais wakati Slaa akiwa kwenye Kampeni za Urais 2010. Watu tuna masikio na pia tunatunza kumbukumbu for future reference.

Huyu ZKK anataka huruma ya kamati kuu kwa kujifanya anaelezea mazuri ya chama wakati hana uzalendo huo na hii ameanza karibuni hivi

Nimechunguza kwenye account yake facebook kabla ya masalia kufukuzwa katika post zake alkuwa haitaji CDM alikuwa anasimama yeye kama yeye kama kuitaja ilikuwa kwa mbali sana lakini siku chache zilizopita ndo kaanza kuitaja as if ndo amejua kuwa yeye yupo CDM

Huyu mtu hawezi akaaminiwa ccm na CDM tumuamini
 
Bila shaka una ugua kabisa!
Lazima tujadili na mtu aliyetoa hoja ana dhamira gani?

Umeshindwa kujiuliza kama alijua kuna migogoro mbona ameshindwa kutuonesha alaifanya jitihada gani kutatua tatizo!
Muda mwingine hoja lazima hijadiliwa sambamba na mtoa hoja!

Nikukumbushe tu wakati wewe unasema wenzio wanajadili watu lakini ukajisahau na wewe ukajadili watu!

humu ndani wamejaa watu wa taarabu na mipasho tuu siku hz, badala ya kujadili hoja wao kila siku wanaacha hoja ya msing na kuanza kujadili watu. Mi nafikiri makala hii ya kusimamia mising sio watu inawahusu
 
Ni ngumu kwake kuacha undimila kuwili ,suluhisho ni yeye athibitike beyond doubt kwamba ni msaliti na atoswe nje ya chama.

ikilazimika atafukuzwa kweli na nitaunga mkono lakini naamini anaweza kujirekebisha
 
Kwasasa hayuko sawa anawaza maisha ya chauma yatakuwaje? mimi namuomba atulie asubiri kamati kuu...aeleze kwanini alishiriki kukigawa chama..

hilo ndio la muhimu kusubiri na kujua hatima yake huyu kaka Zitto kwani haaminiki kabisa.
 
hii makala ni kwa ajili ya kina shardcole ben saanane na masalia et al wanaoendekza ushabiki
 
sawa ni mtazamo yako, na pia ni mawazo mazuri, ILA;

kwa sasa hakuna jambo ambalo litafanyika ambalo linaweza kuwafanya watu warudishe imani kwa ZZK a.k.a swahiba. kwani kutokana na kuendesha hujuma zake ndani ya chama kwakweli HAAMINIKI.

Ajipange upya ikiwezekana, asisite aende tu kwa swahiba mojakwamoja au apitie mlango wa nyuma kama DEO KISANDU, yote ni maamuzi.

Umoja na mshikamano ndani ya CDM upo na utaendelea kuwepo wala hauto vunjwa na kuyumbishwa na MASALIA.

VIVA CHADEMA VIVA TANZANIA M4C CONTINUE
 
Back
Top Bottom