AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
hii makala ni kwa ajili ya kina shardcole ben saanane na masalia et al wanaoendekza ushabiki
wewe umetumwa.
hii makala ni kwa ajili ya kina shardcole ben saanane na masalia et al wanaoendekza ushabiki
makala ni nzuri!
Lakini si muamini mtoa makala hata kidogo!
Hivi haya makundi anayo sema yaliyo sababisha tupoteze umayor wameundwa na nani mpaka ana lalamika kwa wananchi?
Ni mchango wa mtoa makala katika kuvunja hayo makundi? Inawezekana tukawa watu wakulalamika tuu,oooh kuna makundi lakini hatuna mchango wowote kuyaondoa zaidi ya kukaa pembeni na kuangalia hadi mambo yanapo haribika ndio tunasema!
Mtoa makala kaandika vizuri lakini kwa muda huu ni wazi anatafuta huruma ya wananchi ili aonekane halikuwa hakikerwa sana wakati alikuwa na nafasi ya kuweka mambo sawa!
Pengine kuliko kukaa chini na kuandika makala unge kaa chini na kuanza kulalamika wakati una nafasi na kwenye vikao unakuwepo! Kwanini usiongeee uko? Tatizo limeshatokea wewe unatoa makala utafikiri uko nje ya chama! Umefanya juudi gani kutatua tatizo!
Mwandishi wamakala ana onekana kulalamika hili wananchi wasitoe lawama kwake lakini watoe kwa wengine!
Andiko zuri but naona kama huu ni mkakati wa ushindi wa chama sasa unatokaje kwenye public?
je tunataka kuwakumbusha washindani wetu namna ya kufanya mambo ili washinde?
ZKK kama ndie aliyeandika sina imani nae na cjui kwanini anafanya hivi
Huyu ni mnafiki hebu angalia alivyoelezea kuhusu arumeru mashariki na anasema kulikuwa na umoja hivi si ndo ZKK aliyeenda kutangaza kugombea urais wakati wenzake wapo bize kupigania jimbo?
Kaka karibu kwenye siasaZitto zuberi kabwe-big up.
hizi makala zinatoka kwenye gazeti la Tanzania Daima so mleta mada kaamua kushare hapa jukwaani.
wewe umetumwa.
Zito huna sababu ya kutoa makala hii gazetini kwani wewe ni makamu mwenyekiti, unaweza kuliongea hili kwenye vikao vya chama, sasa hivi unatakiwa kutubu urudi kikosini. Acha undumilakuwili