Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Madikteta mara nyingi Huwa mafisadi vilevile. Hawa watu hupenda sana kuwapa watu rushwa ili kuwanyamazisha,Wengine hupewa rushwa kubwa
Wengine huambulia vitu vidogovidogo kama mtungi wa gesi,kanga,vitenge na Kofia hata bia Moja tu ni kulingana na mtu anavyojitambua,akiona wewe rushwa Hutaki basi atatumia vitisho Kwa kutumia vyombo
Dola kama polisi na hata mahakama mara nyingi nchi zinazotawaliwa na Madikteta Huwa majaji woote na mahakimu wanakuwa ni maboya tu Ile yeye ndio mtoa hukumu. Nakumbuka did Amin,Mobutu ,Mugabe na Gadaffi japo Gadaffi yeye alikuwa anaiba ila wananchi nao hakuwasahau,hakuwahi kuwaambia kwamba kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake.
Dikteta atakwambia nchi yangu Ina amani ya kutosha Wakati si kweli hata kidogo watu wanatekwa na kuuwawa,rasilimali za nchi anauza kama vile niza ukoo wake .Dikteta anaweza kujifanya anapenda sana michezo na akatumia Ile michezo pendwa kuwazubaisha akilii na ukikuta vilabu vya michezo vyenyewe vinaongozwa na watu masikini au wenye roho ya kutaka madaraka au Fisadi basi hao viongozi hao watakuwa ni Walala wa huyo
Fisadi Hawa viongozi hawwjui kwamba si wanachama wote wa hivyo vilabu niwa Chama Cha huyo Dikteta. Sisi binadamu hapa duniani ni pakupita tu ulizaliwa huna pesa na utazikwa bila pesa Wala madaraka Yako.Iddi Amin Yuko wapi,Saddam Yuko wapi? Mugabe Yuko wapi? Alafu ukiwa Dikteta alafu unajifanya eti wewe ni mtu wa Mungu ndio mbaya zaidi Kwa maana Mungu Hataki Wanafiki.