Hivi unaanzaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Binamu nimeshindwa kushangaaHivi unaanzaje?
Hajui kabisa....Binamu nimeshindwa kushangaa
Utakua mwanaume wa Dar ww[emoji23] [emoji23]Habari,wakuu kuna dada mmoja nimempenda huwa mara nyingi tumekuwa tukionana mara kwa mara katika mizunguko yangu , jana nimechukua namba yake ya simu, ila nashindwa kumpanga tuweze kukutana tena mara ya pili naomba msaada nitumie njia gani au nimwambie maneno gani ili hawezi kunikubalia na hasiwi na mawazo negative
Kashapewa namba anashindwa cha kusema jaman?Hajui kabisa....
Ndio anataka maneno ya kusema...Kashapewa namba anashindwa cha kusema jaman?
Sijapata jibu binamu,atakua ni aina gani huyuNdio anataka maneno ya kusema...
Imenisikitisha sana...
Tabia mbaya kumcheka mwenzio. [emoji1] [emoji4][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
Bangi zina haribu vijana siku hizi. [emoji4]Daah,[emoji23][emoji23]