Mbinu za kutozungumza broken English

Upo sawa sana.
 
Mkuu pamoja na ujuzi wako katika lugha ya kingereza, umetuangusha waswahili wenzako unapotumia neno Subili badala ya Subiri..
Are you serious..
Yes, I am very serious! Katika matumizi ya l au r kwangu huwa ni changamoto sana na hii inatokana na athari ya lugha mama (lugha ya kwanza).

Ahsante kwa kunikumbusha!
 
kuna moja skusikia jbu lake.pale ambapo upo na baba yako unataka kumuuliza"baba mimi ni mtoto wa ngap kuzaliwa ktk familia yetu?" kwa kiingereza sasa.........
 
kuna moja skusikia jbu lake.pale ambapo upo na baba yako unataka kumuuliza"baba mimi ni mtoto wa ngap kuzaliwa ktk familia yetu?" kwa kiingereza sasa.........
In which number am I in the family lineage

Au In which number am I in the family bloodline

Au

Am i the first, second , third born etc
Jibu lilishatolewa hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…