Mbinu za kutongoza....

Mbinu za kutongoza....

Yahani kweli mtoto wa nyoka anafundishwa kungata kweli?
 
sio inshu kumpata but nambie kama kweli umemzimia au unataka kula mzgo 2? ni PM afu wthn 2 dayz uone balaa lake
A%20S%208.gif
.
they cal me dr.
 
Wenzenu wamenasa mchana nyie bado tu mnatafuta mbinu
 
kuna siku huwa napingana na hii kauli ,JF is never boring!lol
 
hivi jamani mwanaume akisema anachezewa inamanisha nini kutokana na nature ya maumbile ya mwanaume na mwanamke?
 
Na nyie mbona mwamsema mwenzenu! Msaidieni aondokane na kubeba hawa makirikiri aka mayai viza.
 
Asante mkuu....
Umeona eee madada poa hawana kokoro, anakutajia bei unatoa na unapewa mzigo

Halafu kwangu mimi pesa sio tatizo hata laki natoa kwa bao 1, lakini kama watakuwa wadada wa maofisini au wa Jf wanaweza ni pm

Umezunguuuuuka weeeeeee hatimaye umerudi kwenye point Mr tovuti! Unataka wanawake wa JF wewe! Nenda facebook na twitter utawapata wengi mkuu lakini hapa utajichoresha kwa "the great thinkers" mwishoe utongozane hata na mzazi/mke wako (make I D za JF hazitambulishi mtu halisi). Pole sana!
Ama kweli wewe ni "great thinker!"

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Haahaaaaaahaa duuuh kweli hata kama uliboreke ukija jf, msongo wa mawazo unakutoka!

Haahaa nipe hiyo namba ya huyo dada nikutongozee!
 
Sikuhizi kuna kutongoza? unachukuwa tu.
 
Mpigie na kumwambia 'Ninakemea hili pepo la ngono lililo ndani yangu linalonyemelea makalio yako .Amen'
 
Mpigie na kumwambia 'Ninakemea hili pepo la ngono lililo ndani yangu linalonyemelea makalio yako .Amen'
Hahaaa nimecheka hadi basi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nikiwa nahitaj kuondoa uchov au stress MMU ndo mahala pake . Kwel kuishi kwingi kuona mengi
 
Hao lazima uingie na gear za kuzungumza kitasha kidogo halafu mpe ofa ya dinner.
Huku umeweka beti zako sawa za kumtokea
 
Mwambie thanki yu vere machee kwa kunipa namba.
Atakuona we ni mtu wa shukrani hata kwa namba tu, je mbunye si utamjengea kabisa. Anzia apo mkuu.
 
Back
Top Bottom