Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,197
- 7,533
kweli.kuna logical falacySoma hizo red hapo juu na TAFAKARI!
kweli.kuna logical falacySoma hizo red hapo juu na TAFAKARI!
Sikuhizi kuna kutongoza? unachukuwa tu.
Labda anampigia.kwa.skype hehehe
hata ww sheikh!?
Dada samahani!Naomba dakika zako tano tu unisikilize!...Akikubali mwambie hivi!"Sitaki kujua Jina lako lkn langu naitwa Mtendahaki,sitaki kujua kazi yako wala historia yako lakini ukweli toka moyoni mwangu ni kuwa tokea nikuone akili yangu imeniruka nimeshindwa kufanya shughuli nyingine kwani nakuwaza wewe!Kweli sijakutana na mrembo wa jinsi yako, nimechoka kuendelea kuteseka!Ndio maana sitaki hata kujua historia yako mie nataka kujua kama naweza kupata nafasi kwenye moyo wako!Tafadhali naomba nikubalie kwani sina mpango wa kukuchezea,mie namekupenda!" Akiruka hapo temana nae kamwambie mwingine lazima utang'oa tu!
Mimi sijui kabisa kutongoza wanawake wa maofisini, nimezoea sana kuchukua hawa madada poa...
Kuna watu hapa mjini ni mission town tu, lakini kila siku wanawamega wa maofisini...
Kwa mfano jana nilienda ofisi moja nikakutana na dada mmoja ana mattako mazuri yakanivutia, nikazuga kumuomba
namba yake ya simu anipe kwa sababu nilihitaji huduma hapo ofisini kwao, na yeye akanipa...
Nilipofika nyumbani nikawa sijui nianze vipi ili niweze kumnasa, nikataka nimuulize utataka shilingi ngapi nikupe lakini
nikaogopa, nikaona bora nimuulize kwa sms kama anatumia mtandao wa facebook au tweeter anipe id yake niweze
kumuadd, akanijibu kuwa hatumii mtandao wa aina yoyote.......nikashindwa hata kumuuliza tena
Nawaombeni jamani mnipe mbinu za kutongoza