Nimeshawahi kuwa fundi wa hayo madubwi/mashine hauwezi kula pesa mpaka hilo dude lishibe kiwango maalum cha pesa Chief bila ya hivyo haupati chochote
Humo ndani kuna mfumo kama wa visahani ndio vinapokezana hizo coins so mpaka zijae ndio utaweza pata pesa ya maana
Code ni kuvizia ratiba ya wachina kuja kutoa hizo coins wewe ucheze kabla jamaa hawajaja kutoa hizo coins coz litakuwa full wewe ndio uende kulicheza
Wana akili sana hao jamaa TANZANIA serikali yetu haimuhurumii mwananchi kwani hayo madude yanambana zaidi mchezaji, uhuni tu