Mbinu za kujilinda usitekwe au kuuwawa kipindi cha kampeni

penda kuchunguza nyumba unayoishi mara kwa mara kuanzia choo chako nyuma ya nyumba na chini ya godoro au uvunguni maana huko hujificha hao waalifu au uficha kitu wakunganishe na kesi. Mambo hayo yanaweza kufanywa na chama chako au chama kingine cha siasa bila kusahau wagomvi wako
 
kwa upande wa wanawake au wanaume kipindi hiki epuka ngono hasa kwa michepuko.kuwa makini wapenzi wapya maana ni hatari kiusalama.pia epuka nyumba za ghorofa utatupwa chini wazushe umejirusha.
 
KOLOKOLONI

Heading yako haijakamilika ungeandika hivi" Njia za kujihami dhidi ya utekaji, mauaji wanayofanyiwa wapinzani na green guard kwa maelekezo ya viongozi wa ccm kushirikiana na polisi, tiss
 
Last edited by a moderator:
Polisi gan hawa walioshindwa kuifanyia kazi report ya mwakyembe au hawa waliopewa taarifa na david Kafulila kuhusu kutishiwa maisha na Ag(?
 
acha kuleta porojo na kuzadharu ukweli.kama taarifa zao zilipuuzwa wangeendelea kuwa hai?
 
je unakumbuka utekwaji wa yule mwanachama wa chadema ambaye anamuunga mkono zito kabwe alitupwa ununio na watekaji anawajua ni chadema wenzake? Acha porojo okoa maisha yako
 
je unakumbuka utekwaji wa yule mwanachama wa chadema ambaye anamuunga mkono zito kabwe alitupwa ununio na watekaji anawajua ni chadema wenzake? Acha porojo okoa maisha yako

Mkuu tuliza munkari...! Jikite zaidi kwenye suala la ulinzi na mbinu zake. Ili Uzi huu uwe sticky. Ukweli nikuwa nakushukuru sana kwa kuanzisha uzi huu. Ila jikite kwenye mada husika achana na hao wanaotaka kuvuruga mada. Yawezekana walijipanga watumie udhaifu huo kuhatarisha maisha ya wenzao.Ubarikiwe. Amen.
 
boxer pikipiki zenye mbio na imara sana huwa zinatumiwa sana na wahalifu watumia bunduki mfano matukio ya katikati ya jiji dsm mpaka gvt ikapiga marufuku bodaboda kuingia city centre tatizo ni hizi boxer
 
hakuna kitu nachokiogopa kama kwenda kwenye mikutano ya kampeni.huwa nakaa mbali sana na hiyo mikusanyo.
 
Epuka kujibu swali la " Uko wapi sasa hivi" hata kama utaulizwa na mtu wako wa karibu, vile vile epuka kuainisha njia utakayopita kutoka point moja kwenda nyingine hata dereva wako asiijue. Cha kuongezea kama unaweza kujichanganya kwenye daladala pia ni salama zaidi.
 
Back
Top Bottom