Mbinu za kujilinda usitekwe au kuuwawa kipindi cha kampeni

kuwa makini na hodi za usiku siyo kila hodi umefungua mlango chunguza kwanza mpigaji na yupo na nani
 
je unakumbuka utekwaji wa yule mwanachama wa chadema ambaye anamuunga mkono zito kabwe alitupwa ununio na watekaji anawajua ni chadema wenzake? Acha porojo okoa maisha yako
kwa hili tu umegeuka na kuwa kilaza jumla pamoja na hoja zako nzuri
 
Dah kumwamini polisi ndio upuuzi kabisa! Polisi wenyewe wanavaa kata k wanadunda kama 2pac.
 
weka picha ili tuwape watawala wao si unajua mwanafalisafa wa sheria na mwanajeshi msomi alisema majeshini strictly and obidience huyo ni john austin
 
mbona mtoa mada hajagusia nyumba ndogo.je aende kulala huko au ampokee yesu ili hasiziliwe?
 
Funga cctv camera nyumbani ili kujua sura ngeni nyumbani kwako,kama nyumba ina uzio ongeza electricity wire kuzuwia wanoruka ukuta,fanya mazoez ya self defence,epuka kumwagiwa tindi kali kwa kufunga vioo au kutotembea ktk kiza,kuwa na daily routine ambayo haieleweki
 
Tabu yote ya nini wakati ukiwaona ndugu zangu wasambaa wanakupa dawa ya MUKU pamoja na ZINDIKO.

Hii MUKU ni kiboko ya njia, wabaya wako wote wanasahau njia ya kwako na kuna wakati hata sura na jina lako wanavisahau.

Kama unataka namba ingia pm.
 
Daaa! Mwanangu kwa tukio la siku moja ufuate Muku! Hiv unajua mpaka muku ukamilike unatumia mda gan?
Tabu yote ya nini wakati ukiwaona ndugu zangu wasambaa wanakupa dawa ya MUKU pamoja na ZINDIKO.

Hii MUKU ni kiboko ya njia, wabaya wako wote wanasahau njia ya kwako na kuna wakati hata sura na jina lako wanavisahau.

Kama unataka namba ingia pm.
 
Daaa! Mwanangu kwa tukio la siku moja ufuate Muku! Hiv unajua mpaka muku ukamilike unatumia mda gan?

Kaka Mtengeti siku hizi hata uganga umekua digital. Sio ule MUKU wa zamani ambao ulikua unahitajika uende kwenye kijiji cha wakwe ukiwa uchi mchana bila kuonekana. Siku hizi hizo shughuli anakufanyia sangoma kwa malipo kidogo tu.
 
Mnashauriana kwenda kukesha kwa polisi hawa hawa mnaowaitaga poliCCM? Mliokuwa mnahimizana kuwatimua kwenye nyumba zenu walimopanga?Nilidhani mtahimizana kulala kwenye ofisi za vyama vyenu.BTW:Hata Mimi polisi lakini sina uniforms tu,kwa hiyo natoa ofa kwa akina dada wanaowindwa waje walale kwangu msimu huu.NB:Usije na bf wala mmeo nitawatimua mkawindwe vizuri.
 
Back
Top Bottom