Hakuna uwezo huo.Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama...
Zanzibar walipata Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi tena inayojumuisha watu kutoka vyama vyote vya siasa.Ndio maana ni vema kukaa chini na kufanya mazungumzo na wananchi ambao hawakupata bahati ya kuingia shule rasmi au waliosoma na kupata elimu ya msingi,wengi wao hawa wanaishi na sio pretenders...
Nadhani hii ni changamot kubwa tuliyonayo, mtu anasema tu Katiba Mpya, hatutaki kufikiria njia mbadala. I hope tutapata michanganuo zaidi.Zanzibar walipata Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi tena inayojumuisha watu kutoka vyama vyote vya siasa.
Lakini mpaka leo hawajapata wanachokitaka pamoja na kuwa serious kuliko kawaida yenyewe.
Ndio maana ni vema kukaa chini na kufanya mazungumzo na wananchi ambao hawakupata bahati ya kuingia shule rasmi au waliosoma na kupata elimu ya msingi.
Wengi wao hawa wanaishi na sio pretenders,angalia huyu middle class baada ta kupigwa na upepo mwanana wa AC anakuja na mada kama hii!!, nchi inahitaji KATIBA mpya sio viraka au mawazo mfu kama haya ya mtoa mada.
Ni ngumu.Shukrani sana, just a follow up kwa option ya 1. Je inawezekana ku-accelerate huo utengano? mfano - kuongeza nyufa kati ya makundi ya kijamii na CCM?
Labda wachukue wale wenye mafunzo ya jeshi wanarandaranda huko mtaani hawana kazi waunde jeshi lao(lakini sio hapa tz)sasa sijui wataliundia wapi.Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Kama walivyofanya ACT?Ukitaka kupigana na adui yako mwenye nguvu ungana nae.
acha kuzuga watu, dawa ya CCM ni katiba mpya - kingine ni kujichosha tu.Habari za asubuhi wanajamvi.
Nimekuwa nikitafakari sana hali ya kisiasa nchini. Ni ukweli ulio wazi kuwa Chama tawala (CCM) ni chama kikubwa, chenye rasilimali watu na fedha pamoja na kufanya kazi kwa ukaribu na vyombo vya ulinzi na usalama, bila kusahau tentacles zake ziko kwenye kila eneo la serikali. Hizi ni facts, ni hali halisi kwa ground ambazo hatuwezi kupingana nazo au kujidanganya kuwa hazipo.
Kwa kutambua hilo, mbinu zozote za kupambana na CCM ni lazima zijumuishe ukweli huo. Ningependa kupata mawazo ya wadau, kama una mbinu yoyote inayozingatia hali halisi niliyoeleza tushauriane hapa. Mimi naanza na moja;
Kwa kuwa CCM ina watu kwenye vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na serikali, nashauri vyama vya upinzani navyo kuanza ku-recruit au kupandikiza watu huko. Mfano, kunapotokea kuna ajira za polisi/TRA/Uhamiaji nk...vyama vya upinzani vichukue jukumu la dhati kuhakikisha kuwa vijana wa chama, wenye imani na vyama hivi wanapata nafasi hizo. Kuanzia kwenye kuhimiza wajiunge mpaka ku-lobby pale inapowezekana ili navyo viwe na watu wao huko.
Je, wewe unashauri mbinu gani itumike kuidhoofisha CCM na/au kuimarisha vyama vya upinzani?
Shukrani sana kwa mchango wako. Umesema 1. elimu ndio suluhisho na 2. CCM inarudisha nyuma elimu kwa makusudi; Je tutumie mbinu gani kakabiliana na hili?CCM kuachia nchi ni pale asilimia kubwa ya wananchi watakapo jitambua vizuri kiakili (ELIMU), watu wengi wakielimika na kua na uwezo wa kuhoji na kuchukua hatua. Watu wakijua kipi serikali inapaswa kuwatendea kwenye huduma za afya, maji, umeme, haki hawa CCM watafukuzwa mapema sana kupitia sanduku la kura, elimu ni silaha pekee itakayo watoa hawa majizi. Ndio maana yana ajiri walimu failure na huduma ya elimu hayataki kuiboresha ipasavyo
Nimetoa mfano tu wa mawazo yangu, je wewe unadhani tutumie mbinu gani? iwe ngumu au laini.Hiyo mbinu yako imefanyika sana sana 2015 kurudi nyuma kabla siasa haijawa vita.
Option zilizobaki zote ni ngumu kwa upinzani uliopo kutoboa ila ninachujua CCM itakufa tu haitaishi milele