Mbinu za kuhimili nguvu za kiume

Lamchina

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
240
0
*AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.

Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo!

*MAZOEZI
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka, Kichura, mazoezi ya kukata tumbo na mazoezi mengine mengi ni muhimu sana.

*ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko nje. Ila kwa wengine pombe za spirit kama Konyagi, Valuer, K-vant etc zimewasaidia wasikojoe mapema wakati wa mechi ila kumbuka isiwe too much/addicted

*ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba kwa muda mfupi tu. Na mwisho wake ikishakuwa sugu mwilini hukataa kufanya kazi

*WACHA MCHEZO WA KUPIGA PUNYETO
Hii kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo inabidi uache. Huchangia kwa kiasi kikubwa mishipa ya uume kulegea na kushindwa kufanya kazi ipasavyo*PUNGUZA MAWAZO/KUWAZA
Hii imewakumba wengi inafika wakati wa mechi mama kajiandaa vizuri lakini baba anawaza madeni anayodai/kudaiwa, wengine hufikiria matatizo ya kazini na mengine mengi kiasi kwamba hawezi kuconcetrate katika mechi ipasavyo. Kwa mfumo huu utachojoa kimoja wakati mama hata nusu ya stimulation haijapanda mwishowe unamwacha kwenye mataa maana uume hautasimama hautasimama kabisa....... hii imepelekea kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa MICHEPUKO katika ndoa za wapendanao. Hivyo pamoja na changamoto za klimaisha tujitahidi kuweka focus ata a particular task on time mengine weka pembeni.
​
See you on next episode
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,346
2,000
hii ni habari na si tetesi, tetesi maana yake ni jambo ambalo halijathibitishwa, na likishathibitishwa hukoma kuwa tetesi
 
ICHANA

JF-Expert Member
May 10, 2012
4,780
2,000
wanaume wa kamoja wanalala dolo waje wapate shule itawasaidia kukimbia mbio za marathoni
 
Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
195
Na sasa hivi kuna magimbi.viazi na mihogo badala ya kula mikate na maandazi tumia hivi vyakula tena waweza tumia mihogo na asali kwa breakfast
 
autorun255

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
1,108
0
Nyanya nazo zinasaidia kuongeza nguvu za kiume.

Usisubiri hadi iungwe kwenye mboga.

Tafuna 2 au tengeneza juice.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,151
2,000
*AINA ZA VYAKULA
Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.

Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo!

*MAZOEZI
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka, Kichura, mazoezi ya kukata tumbo na mazoezi mengine mengi ni muhimu sana.

*ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI
Pombe ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko nje. Ila kwa wengine pombe za spirit kama Konyagi, Valuer, K-vant etc zimewasaidia wasikojoe mapema wakati wa mechi ila kumbuka isiwe too much/addicted

*ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Hizi dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba kwa muda mfupi tu. Na mwisho wake ikishakuwa sugu mwilini hukataa kufanya kazi

*WACHA MCHEZO WA KUPIGA PUNYETO
Hii kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo inabidi uache. Huchangia kwa kiasi kikubwa mishipa ya uume kulegea na kushindwa kufanya kazi ipasavyo*PUNGUZA MAWAZO/KUWAZA
Hii imewakumba wengi inafika wakati wa mechi mama kajiandaa vizuri lakini baba anawaza madeni anayodai/kudaiwa, wengine hufikiria matatizo ya kazini na mengine mengi kiasi kwamba hawezi kuconcetrate katika mechi ipasavyo. Kwa mfumo huu utachojoa kimoja wakati mama hata nusu ya stimulation haijapanda mwishowe unamwacha kwenye mataa maana uume hautasimama hautasimama kabisa....... hii imepelekea kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa MICHEPUKO katika ndoa za wapendanao. Hivyo pamoja na changamoto za klimaisha tujitahidi kuweka focus ata a particular task on time mengine weka pembeni.
​
See you on next episode

Ongezea na hizi hapa :

1. Hakikisha unachukua demu mkali. Asilimia kubwa ya wanaume wanaolalamika kutokuwa na nguvu za kutosha za kiume ni wale wanao toka na mademu ambao hawako sexy.

2. Hakikisha wewe na huyo demu mnapima kwanza kabla ya kuanza mahusiano. Kondomu zinapunguza ufanisi wa tendo la ndoa. Mambo yote nyama kwa nyama.
 
64Bits

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
961
225
Nyanya nazo zinasaidia kuongeza nguvu za kiume.

Usisubiri hadi iungwe kwenye mboga.

Tafuna 2 au tengeneza juice.
mkuu nyanya tu yaweza kusaidia ku kick start ile mashine?! Teheeee prevention is better than cure ngoja nimtengenezee hubby kachumbari lol
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
wanaume wa kamoja wanalala dolo waje wapate shule itawasaidia kukimbia mbio za marathoni
sio kamoja tu afu inalala, pamoja na kamoja afu ka fasta... kuna ambao kamoja wanapeleka muda mrefu kweli hadi binti anajiuzulu... huyo ukitaka apeleke cha pili si kuna kushikiana mapanga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom