Mbinu za kuhimili nguvu za kiume

Mbinu za kuhimili nguvu za kiume

Sasa suala la UNGA WA DONA na watu walioko nje ya nchi kama America,Belgium,UK,Japani na kwingineko ambako huu unga haupatikani si itakua shughuli.

Pia nguvu za kiume na utengenezaji wa manii ni vitu viwili tofauti.Kuna sehemu unasisitiza suala la vyakula ambavyo vinaongeza uzalishaji wa manii na siyo dawa ya kurudisha au kuongeza nguvu za kiume.
 
sio kamoja tu afu inalala, pamoja na kamoja afu ka fasta... kuna ambao kamoja wanapeleka muda mrefu kweli hadi binti anajiuzulu... huyo ukitaka apeleke cha pili si kuna kushikiana mapanga

Janga LA taifa hili kwa kweli
Hao wa mbio ndefu kwa kweli imekuwa ni adimu wengi wamekuwa kama moto wa kivuu
 
Habarini mi nashida ya tatizo la nguvu za kiume na uume wangu mdogo sana kama wa mtoto nahitaji tiba nmeangaika sana nmekata tamaa ni muanga wa punyeto na xxx mwaka wa kumi huu unae da wa 11
 
Back
Top Bottom