Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

Kwa mnaohangaika kufreeze sijajua tatizo ni kwasababu hamjaroot simu au lah? ila mfano mama mimi simu yangu ipo rooted basi naweza kufreeze app yoyote kwenye simu yangu. Na nnaweza kuuninstall app yoyote kwenye simu hata kama ni system app.

Faida za kuroot simu ni kama

1. Unaweza kuinstall custom mods katika simu yako.

2. Simu inakuwa inakaa na charge zaidi tofauti na simu ambayo haijawa rooted

3. Simu inakuwa na speed zaidi internet kuliko ambayo haijawa rooted.

Zipo nyingi ila hizo ni chache tu.
hivi wataalamu wa kuroot naweza kuwapata wapi mafundi wengi hawawezi hii kitu
 
nafanyaje mkuu nielekeze kidogo ila kuna watu wanadai mpaka uwe na computer
Inategemea na simu moja na nyingine. Kuroot kunatofautiana kwa kila simu. Kila simu ina files zake ambazo unazitumia kuroot hazifanani.

Infact kuna solution nyingi zimejaa mitandaoni huko.

Pia Computer ni muhimu. Maana solution nyingi zinataka computer.
 
Inategemea na simu moja na nyingine. Kuroot kunatofautiana kwa kila simu. Kila simu ina files zake ambazo unazitumia kuroot hazifanani.

Infact kuna solution nyingi zimejaa mitandaoni huko.

Pia Computer ni muhimu. Maana solution nyingi zinataka computer.
yangu itel
 
Hatimaye nimedakwa dadeq
Hakuna cha ant ban wala nini
Niswala la muda tu
Screenshot_2019-06-28-20-09-04.jpeg
 
Ni swala la muda tu mkuu

Nimeamua kurudi ofisho kwanza maana hii kulazimisha unaweza kula life ban bure
Mimi nimeweka hii yenye Anti ban2. Nina week inaenda ya pili sasa. Kabla ya hapo niliweka lile toleo la kwanza la anti ban ilikuwa simalizi siku na kula ban.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom