Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

swala la Frezer bado ni tete hebu tufanunue zaidi? hii ni application au ni njia fulani hebu tufahamishe
 
Mpaka leo nawashangaa wanaotumia app ambazo sio official wanachokitafuta watakipata google sio wajinga ...Asante
 
Ni swala la muda tu mkuu

Nimeamua kurudi ofisho kwanza maana hii kulazimisha unaweza kula life ban bure
Yalinikuta hayo na mimi nimeamua kurudisha majeshi kwa muda.
Screenshot_20190704-154231_YoWhatsApp.jpeg
 
Iko version nyingine wakuu hiyo haina bann... Wameiupdate ina kitu kinaitwa antbann
 
Watu wanakula tu ban na anti ban zao

Ni swala la muda tu

Binafsi nilikua natumia hizi app ili niweze kutumia whatsap 2 kwa simu moja

Lakini sasa nimepata ujanja natumia whatsap ya kawaida na whatsap business kwenye simu moja kwa no tofauti

Problem solved
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom