Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,226
5,947

Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi zinahusisha:-

  • Kusimama ukutani kwa mda mrefu ( wall-standing)
  • Kufunika kichwa cha mtuhumia mda wote isipoluwa mda wa mahojiano (hooding),
  • Makelele ( subjection to noise)
  • Kukosesha usingizi ( deprivation of sleep)
  • Kumnyima mtuhumiwa maji na chakula ( deprivation of food and drink)
Wamarekani wao walibuni hizi na kuzitumia katika mazingira tofauti

Interrogation techniques authorized by the Department of Justice (DoJ) and used by the CIA reportedly included:

• grabbing and shaking prisoners;

• slapping prisoners to cause pain and fear;

• forcing prisoners to stand for upwards of 40 hours;

• exposing prisoners to extremely cold temperatures for prolonged periods and dousing them in cold water;

• waterboarding prisoners by binding them to a board, wrapping their faces in plastic and pouring water over them; or strapping them down, putting a washcloth over their faces and pouring water into their noses; • confining prisoners in coffin-style boxes;

• keeping prisoners in darkness without access to light; and

• blaring continuous loud music at prisoners.

The Military’s Coercive Interrogation Techniques

• “interrogator identity” (interrogator impersonates a citizen or interrogator from a country known for harsh treatment of prisoners);

• stress positions, such as standing, for up to four hours;

• isolation for up to 30 days, with extensions beyond 30 days upon Commanding General approval;

• deprivation of all light and auditory stimuli;

• hooding during transportation and questioning;

• 20-hour interrogations;

• the use of a prisoner’s individual phobias, such as fear of dogs, to induce stress; and

• light pushing.

Later modified

• dietary manipulation;

• hooding and other sensory deprivation techniques;

• environmental manipulation;

• sleep adjustment;

• “false flag” (leading prisoners to believe that they have been transferred to a country that permits torture); and

• isolation.
 
Je,Sheria zetu zinasemaje?Unless kama utawala wa Sheria haupo na watawala wao hugeuka Sheria,hapo sawa!
Lakini Kwa Sheria tulizojiwekea,hayo yote uliyoandika ni nonsense na irrelevant
if you are only depending on your senses you are just an ordinary person; you are absolutely right i am nonsense because all i do i put into use all my senses PLUS non senses in so doing i am far better than you
 
Hiki kiingereza gani? Leo tupo miaka 60
 
aidha Kibatala na wenzake wanatumia mtaala wa haki za binadamu na mkataba wa kuzuia mateso na ukatili kana kwamba ndicho kilichotokea
Mbinu Tano njia ya mahojiano kati ya polisi na watuhumiwa

Mbinu tano ni njia za mahojiano zilizobuniwa na jeshi la Uingereza na kutumika wakati wa machafuko Ireland ya Kaskazini. Mbinu hizi zinahusisha:-

  • Kusimama ukutani kwa mda mrefu ( wall-standing)
  • Kufunika kichwa cha mtuhumia mda wote isipoluwa mda wa mahojiano (hooding),
  • Makelele ( subjection to noise)
  • Kukosesha usingizi ( deprivation of sleep)
  • Kumnyima mtuhumiwa maji na chakula ( deprivation of food and drink)
Wamarekani wao walibuni hizi na kuzitumia katika mazingira tofauti

Interrogation techniques authorized by the Department of Justice (DoJ) and used by the CIA reportedly included:

• grabbing and shaking prisoners;

• slapping prisoners to cause pain and fear;

• forcing prisoners to stand for upwards of 40 hours;

• exposing prisoners to extremely cold temperatures for prolonged periods and dousing them in cold water;

• waterboarding prisoners by binding them to a board, wrapping their faces in plastic and pouring water over them; or strapping them down, putting a washcloth over their faces and pouring water into their noses; • confining prisoners in coffin-style boxes;

• keeping prisoners in darkness without access to light; and

• blaring continuous loud music at prisoners.

The Military’s Coercive Interrogation Techniques

• “interrogator identity” (interrogator impersonates a citizen or interrogator from a country known for harsh treatment of prisoners);

• stress positions, such as standing, for up to four hours;

• isolation for up to 30 days, with extensions beyond 30 days upon Commanding General approval;

• deprivation of all light and auditory stimuli;

• hooding during transportation and questioning;

• 20-hour interrogations;

• the use of a prisoner’s individual phobias, such as fear of dogs, to induce stress; and

• light pushing.

Later modified

• dietary manipulation;

• hooding and other sensory deprivation techniques;

• environmental manipulation;

• sleep adjustment;

• “false flag” (leading prisoners to believe that they have been transferred to a country that permits torture); and

• isolation.

Polisi wa kibongo hawana mbinu nyingi zaidi ya adhabu, mabavu, kipigo na mateso!!
Usifuatilie movie zitakupotosha sana!!
 
hapana mkuu,kuhojiwa unahojiwa kwa mdomo tu.
wewe ndio utachagua sasa upigwe au useme kama mnapiga story za kawaida tu.
 
Kweli imefikia hatua tunatetea torture wakati wa Polisi kufanya uchunguzi?Tumefikia huko?Inamaana Sheria zilizopo ni geresha na kwamba Kuna katiba nyingine inayotoa ruhusa hiyo Kwa Polisi kutesa!
Hao akina Kingai wawe makini sana,wajifunze kutenda majukumu Yao Kwa kuzingatia Sheria maana siku yakiwakuta hakutakuwa na mwenye huruma nao!
Waangalie mfano Kwa Sabaya,watu walimpa kichwa sana na kumsifia!Leo hii anakula mvua 30,anaanza kulia kwamba ana mchumba na ametoa mahari!
Majuto ni mjukuu!
 
mkuu kesi ya sabaya usiilete hapa sio rejea sahihi,huijui nchi hii vizuri.

torture sio kanuni za kimahakama,mahakama haitambui ushahidi unaotolewa kwa njia ya mateso,nikuibie siri.
unaposikia upelelezi haujakamilika,maana yake hakuna dalili za moja kwa moja mtu kukutwa na hatia,na kwa namna moja sababu ya kumfanyia mateso mtuhumiwa haijapatikana,hapa kufumba na kufumbua haki ya mtu/watu inakwenda na maji.

leo hii hapa tunaleta siasa sababu waliopigwa ni watu wetu,ila ukiwa upande wa mlalamikaji,ndio utaelewa kwanini ni muhimu mtu aguswe.
 
if you are only depending on your senses you are just an ordinary person; you are absolutely right i am nonsense because all i do i put into use all my senses PLUS non senses in so doing i am far better than you
Utaongea mpaka kikwenu/ kindengereko lakini maana ya mateso kwa mujibu wa sheria unajulikana. Uliandika juzi ati komandoo sijui anateswaje? Ivi ulishawahi kukamatwa na polisi wewe ukalambwa hata kibao kimoja?
Ivi kuna mtu alikuwa KATILI kama sabaya? Mbona aliweza kukamatwa na PCCB akiwa na bunduki na risasi 21 bila hata kufyatua moja???
Jitafakar wewe
 
hapana mkuu,kuhojiwa unahojiwa kwa mdomo tu.
wewe ndio utachagua sasa upigwe au useme kama mnapiga story za kawaida tu.
Tofautisha vitu vizuri...
Kuna majibu matamu ya polisi mahakamani...
Na mchakato mzima wa kumkamata na kumfikisha mtuhumiwa mahakamani...

Kama hujawai kamatwa uliza wenyeji
 
mkuu kesi ya sabaya usiilete hapa sio rejea sahihi,huijui nchi hii vizuri.

torture sio kanuni za kimahakama,mahakama haitambui ushahidi unaotolewa kwa njia ya mateso,nikuibie siri.
unaposikia upelelezi haujakamilika,maana yake hakuna dalili za moja kwa moja mtu kukutwa na hatia,na kwa namna moja sababu ya kumfanyia mateso mtuhumiwa haijapatikana,hapa kufumba na kufumbua haki ya mtu/watu inakwenda na maji.

leo hii hapa tunaleta siasa sababu waliopigwa ni watu wetu,ila ukiwa upande wa mlalamikaji,ndio utaelewa kwanini ni muhimu mtu aguswe.
Huo umuhimu unaleta wewe!Tumejiwekea Sheria Ili tuwe na muongozo!Torture haiwezi kuwa njia sahihi hata siku Moja,katika mazingira hayo unaweza kukuta badala ya haki kupatikana basi ndio inapotea kabisa!Imagine,katika mateso mtu unaweza kukiri chochote hata kama hukutenda!Ilimradi tu mateso yaishe!
Sasa hapo tutakuwa tunataka kutenda haki au watu wakiri tu Ili Polisi wawe wavivu kufanya kazi zao!
Aibu Karne hii mtu kudhani kwamba torture ni jawabu!Walalahoi wengi ndio wanaoumia kwani hakuna wa kuwapigania!Mtu anabambikwa kesi,analazimishwa atoe Hela!Asipotoa anateswa Ili asaini maelezo yasiyo yake!
Hapa tunawapa rungu Polisi la kukandamiza watu!
Wewe mwenyewe utakuwa umemsikia Rais akilitambua tatizo la kubambikizia watu kesi!Hii inamaana watu wanasainishwa maelezo yasiyo Yao Kwa mateso!
Mbowe ana watu wengi na ni mtu maarufu ndio maana watu wanafuatilia Kwa makini kila hatua!Mpaka hoja hii inakuja hapa ni kwasababu ya kesi ya Mbowe na watu wanaona haki za watu zimekiukwa na wanapiga kelele haki itendeke!
Fikiria kama ingekuwa mlalahoi huko,nani angejua?
Kwenye hili mnalounga mkono mnaweza kudhani mnamkomoa Mbowe,ila kiukweli wahanga ni wengi sana!Tena Mbowe Wala hata kuguswa hajaguswa!Wameteswa walinzi wa Mbowe ila sio Mbowe,unadhani kwanin?
 
if you are only depending on your senses you are just an ordinary person; you are absolutely right i am nonsense because all i do i put into use all my senses PLUS non senses in so doing i am far better than you

I swear, you are worse, weaker, more immature than you think!! You are making a poor argument on very poor grounds!

You referred to US and UK techniques, which you did not mention whether they are legit or not - but then your argument is on TP and our laws. Say it here whether it is legit in our books!!

It is an insult to the children of this world to say your argument is “childish”
 
ok acha tukibali torture sio njia sahihi,njia sahihi ya kukusanya ushahidi ni ipi??
acha tufanye polisi wote ni wajinga,wapumbavu,hawajui wanachokifanya wanatakiwa kuelekezwa.

embu sema kitu.
Polisi walitakiwa wajengewe uwezo kwenye teknolojia!Sio vibaya kuiga Kwa wenzetu!
Ukiangalia kesi nyingi huwa hakuna cha upelelezi,wanabuy time tu!Hata field hawaendi!
Tuna upungufu mkubwa wa vifaa kazi,teknolojia na elimu duni ya Hawa askari wetu wanaoitwa wapelelezi!
Nilitegemea kwenye hii kesi walau Ile bastola basi waichukue wakiwa wamevaa gloves na kupima basi hata fingerprints!
Eti kilichofanyika ni kupima kama silaha inafanya kazi,haya unathibitishaje kama ni ya mtuhumiwa mbele ya mahakama?
 
ndio sababu tokea mwanzo nilikataa usitumie kesi ya sabaya kama rejea,maana nilijua kabisa kule utakubali uwezo wa polisi bila kigugumizi ila kwa mbowe na wenzie lazima utilie shaka tech,vifaa na hata uwajibikaji.

nikafikiri utataja jambo la msingi kumbe point ni zile zile zisizobadilika kwenye malalamiko yote,lack of capital,poor govt support,mzee nchi za watu polisi wanapiga watu,yaani usije ukajidanganya namna gani sijui.njia mbadala ya kukwepa mateso ni kunyoosha maelezo tu.

swala la silaha kukaguliwa FP,lolote linawezakuwa limefanyika,kwani maelezo yangeletwa pale,kisha mtuhumiwa aseme alishikishwa vidole ungekataa hoja hiyo!!!!
wote tunatamani polisi wanaofanya kazi kama mapadre bahati mbaya hawapo dunia ya sasa,kutokana na asili ya watu wanaowahudumia.
 
Unazungumzia nchi gani?Wenzetu ikibainika kwamba umeteswa Ili uconfess basi kesi inaishia hapo hapo!Na Polisi wanachukuliwa hatua!
We fikiri,watu waliofeli form 4 ndio hao wanaenda kuwa wapelelezi!Yaani hapo ni kama ujumbe kuwa jeshi la Polisi ni nguvu kuliko akili!Ujinga Huo!
Ndio maana haya yote yanatokea!
Walau tungekuwa na chombo cha kuoversee kazi za Polisi!
 
if you are only depending on your senses you are just an ordinary person; you are absolutely right i am nonsense because all i do i put into use all my senses PLUS non senses in so doing i am far better than you
Kwani ungeandika kwa kiswahili tusingejua kuwa wewe ni mweupe wa lugha iliyokuja na maji,ukishakuwa mpishi wa wazungu na wewe unakuja kutufinyangia jf hapa!!
 
I swear, you are worse, weaker, more immature than you think!! You are making a poor argument on very poor grounds!

You referred to US and UK techniques, which you did not mention whether they are legit or not - but then your argument is on TP and our laws. Say it here whether it is legit in our books!!

It is an insult to the children of this world to say your argument is “childish”
If i term you a myopic- that will be pure glorification. The law of our land is based on common, British/USA/ law system thus for sure you can not run away from it. What i am putting across is Kibatala et al picked the torture framework, ticked the suitable boxes and made their client utter them in court to show that they were tortured.
let me refer you to this document
www.corteidh.or.cr/tablas/r25625.pdf

COURTS are advised to consider the whole situation where it is suggested that suspects were tortured- a mere mention of it is not enough.

read for yourself

In evaluating whether or not a confession was made voluntarily, federal courts consider the “totality of the circumstances” surrounding the interrogation, including the
  1. age, intelligence and education level of the accused;
  2. the length of the detention and interrogation; and
  3. the use of physical punishments such as the deprivation of food or sleep
In that light, let us subject Adamoo et al to it . Being commandos were they tortured excessively enough to enable the extraction of the statements? My opinion is NO.
 
Hivi unadhani polisi wa Tanzania wana weledi gani wa kupeleleza zaidi ya kupiga, kutesa ili ukubali kosa ikiwa unataka usitake
Fikiria Nani atasaini ungamo la ugaidi kwa hiyari yake akijua adhabu yake ni kubwa na bila haya, tahayuri wala soni wanadai hata wakil hakutaka.
Sisi sio mataahira kiasi hi hicho.
 
Back
Top Bottom