free freed
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 239
- 140
Mkuu umetumia uwerevu wa hali ya juu kumkwepa vngnevyo ungemkopesha, ungepewa papuchi siku mmoja tu na deni utaambiwa tu
Mkuu umetumia uwerevu wa hali ya juu kumkwepa vngnevyo ungemkopesha, ungepewa papuchi siku mmoja tu na deni utaambiwa tu
kumbe wanaotakiwa kupendwa ni wenye za dhahabu, ndio wakoje hao!!!
Kurekodi ni ushahidi wa yeye mwanamke akikataa na kugeuza kibao kwa kusema jamaa alimmtongozaHuwa nasemaga hivii... kama huna ujasiri wa kumfesi huyo unayemrekodi, achana na habari ya kupeleka audio za watu kwa wenza wao...
Huo utakuwa ni ujinga uliopindukia, kuna mambo mengine yafaa muwaachie wanaume waliopevuka wadeal nayo, siyo mambo ya kulialia Jamvini.