Mbinu mpya ya kupiga mizinga?

Mbinu mpya ya kupiga mizinga?

Na wanawake nao wakiongelea pesa basi mwanaume anaganda, ukitaka akukimbie sema hauna pesa au unamuomba halafu baadae utamjua ni atatimka kwa hiyo maiaha ya hivyo ni 50/50.

Mmetuzidi kwenye nyie ndio mnaitumia sana na wanawake sijui niseme wasichana hawana mbinu za kutengeneza habari labda awe amekubuu na hana shida sana ndio anaingia mkenge wenu kirahisi.

Sijakupata mkuu!
 
Wanawake wakibongo siku hizi wanakera..!kuna mmoja/mchepuko yaani unanipiga mizinga mpaka sipumui vema,lakini siku akiingia katika hamsini zangu,yaani vumbi LA Kongo litausika 100% alafu napiga chini.
Kieh! Kieh! Kieh! komaa nae tu, ukiishiwa sana pumzi nicheki nikuazime diving oxygen kit.
 
Bado hii hailalishi ulale na mke wa mtu au kumtamani . Ukiona mke wa mtu anafanya hivi mmrekodi nenda moja kwa moja kwa mumewe amkanye mkewe . Mke huyo kakosa maarifa!
Huo utakuwa ni ujinga uliopindukia, kuna mambo mengine yafaa muwaachie wanaume waliopevuka wadeal nayo, siyo mambo ya kulialia Jamvini.
 
Nikikugundua, talaka hapohapo, maana nitaamini hizo hela za kufanyia hayo madili ni za kuhongwa, utajuuuuuuuuuuuuuuuuta!
Hzo talaka zinatolewaga ovyo ivo km majan ya mwarobain???? Mke n kama mtot ukifany jambo nae hufuata nyayO sa iweje akushuhudie mara mia ukifanya mambo ksircr ila ye afanye m1 tu talaka juu------ ama kwel mkuki mtamu kwa nguruwe__________!!!!!
 
Hahahaaa..nimekumbuka siku moja nimekaa mahali napata ladha mbili, sasa pembeni wamekaa washikaji watatu na upande mwingine kwenye meza nyingine kuna warembo wawili, wale washikaji baada ya mda wakaanza kuongea kwa sauti kidogo kwamba kuna mzigo wameuza na kesho yake watagawana mil400 kila mmoja, wale warembo kusikia hivyo jicho hiloo likawatoka balaa na umate umate hivi! Wakaaza kuwalegezea macho...!!
 
Mimi sina hiyo tabia mkuu, nikifa ghafla mali zipotee bure!
 
Hahahaaa..nimekumbuka siku moja nimekaa mahali napata ladha mbili, sasa pembeni wamekaa washikaji watatu na upande mwingine kwenye meza nyingine kuna warembo wawili, wale washikaji baada ya mda wakaanza kuongea kwa sauti kidogo kwamba kuna mzigo wameuza na kesho yake watagawana mil400 kila mmoja, wale warembo kusikia hivyo jicho hiloo likawatoka balaa na umate umate hivi! Wakaaza kuwalegezea macho...!!

Jamaa wa hivyo wamesomea kukamata wasichana, hasa mijini. Unasikia mtu anapiga simu kwa sauti, huku yuko baa, "huo mzigo unaingia wiki ijayo, yeah, ndio, enhee, natakiwa nikalipia sasa hivi USD mil 2, poa tuonane baadaye bandarini", halafu pembeni kuna warembo, kwa nini wasing'oke mkuu!
 
Na hamna namna; wamezoea kupiga mizinga nao wacha wakamatwe kwa style hiyo!!
 
C mnasemaga madili meNgine mke hapasw kushirikishwa???? naye huenda ameamua mme asimshirikishe.

Hayo ni ya watu wa dili kama za sembe na uporaji, maana wanajua wakiwaambia wake zao hawawezi kukaa na siri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom