Mbinu mpya ya kukataa mwanaume

Mkuu uzi huu unatokana na nyuzi za malalmiko ya wakak kuwa unamsalimia binti asubuhi(salam hii ni ile yenye walakini),jion anakupiga kizinga....
We all know the genesis of this thread. But that doesn't justify a thing about this tactic

This tactic is," filled with sheer amount of amateurism" It's a very immature response to a trivial problem
 
Naona unajitetea kwa kutumia uongo. Keep it up.
 
Kweli kabisaa.... Braza.
You act gentle, play smart, hii mambo hii unaweza kutana na girl anabwana Yake kabisaa alafu una mla kisela.
Hamna sababu ya kulia lia na mengineyo....!
 
Kweli kabisaa.... Braza.
You act gentle, play smart, hii mambo hii unaweza kutana na girl anabwana Yake kabisaa alafu una mla kisela.
Hamna sababu ya kulia lia na mengineyo....!

Ndio maana yake.

Hata akileta zile like anakupiga kibuti....you just relax and be gentle usionyeshe kabsa hasira au jazba. We maintain that and act the wise guy alaf unamuua kabisa na care (sio mpaka uwe na hela) but act naughty at the same time (dnt fake it too much)...hahaha utaja niambia.
 
Kwa hiyo njia rahisi siku hizi ya kupoteza maboya kwa mtu usiyemtaka ni kumpiga kizinga ili aleft in peace.
Vipi ukipiga mzinga akikubali kukupa na wewe ndio itakuwa ushampa hivyo?!!!
 
Uko sawa kaboom ..nimekuelewa
 
Unampeleka Mliman City unamnunulia Pepkoni za elfu na Juisi ya embe ya mia 5
 
Zama izi za kutumbua adi vipele,wahongaji wamelala mbele...hawataki kutumbuliwa....so it's a win win situation
khaaaa!!!,kwa hiyo Ngosha ameathiri hadi Utongozaji wa wanaume kwa wanawake???,sasa hali ikiendelea kuwa hivyo wanawake watakaa tu kwenye mstari,watabana weeee mwisho wataachia.
 
Bora uwe mkweli, kwasababu akitoa mkwanja uliyoomba utanasa kiulanini kabisa.
 
Kwahio anaening'ang'ania nimpige kizinga
 
Bora uwe mkweli, kwasababu akitoa mkwanja uliyoomba utanasa kiulanini kabisa.
Sio rahisi,siwez kukupiga kizinga km najua una uwezo wa kuitoa io pesa...lengo apo si kila mtu,ni wale wasioelewa,....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…